Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
- Thread starter
- #61
Amabao bado tunatembea na bahasha za kaki ajira hatuna tunacomment wapi!!
Don't giveup one day yes[emoji120]
Amabao bado tunatembea na bahasha za kaki ajira hatuna tunacomment wapi!!
Kama unakimbia majaribu sasa mbona unachati nae?
Mambo ya domKuna mchezo mchafu sana unafanyika maofisini kama kuna wazee wa age za 45+ huu ni uzi wenu kaeni mkijua hali ya sasa ni mbaya sana. Hawa wake zenu sijui wamewashindwa. Kuna kimchezo cha wamama watu wazima hapa naongelea wenye age ya 40+ kututaka kimapenzi sisi vijana maofisini, manake tunasumbuliwa sana ukiwa kijana smart, HB wanajigonga balaa
Utakuta mmama anaanza mazoea ya ghafula mara umependeza, lift nyingi sometimes anakwambia ntakuwa nakupitia kituon sehem flan tuje wote ofisin. Ataanza kuomba baadhi ya seminars mwende wote, mtaanza mawasiliano unakuta unachat na mmama mzma ujinga hadi sa7 usiku daah wtf?? Anaanza jitongozesha aisee hii hali inatishaa. Nashukuru mungu haya majarib huwa nayakimbiaa japo ni ngumu sana.
Hio ndo hali halis kwa sasa kama hamfaham walioko maofisn wanajua. kama bado bhs ajiriwa ndo utajionea laivu. Kuna uchafu mwingi unafanyika nyingine siri za ofice. USIKU MWEMA WAKUU
HahahaKuna mchezo mchafu sana unafanyika maofisini kama kuna wazee wa age za 45+ huu ni uzi wenu kaeni mkijua hali ya sasa ni mbaya sana. Hawa wake zenu sijui wamewashindwa. Kuna kimchezo cha wamama watu wazima hapa naongelea wenye age ya 40+ kututaka kimapenzi sisi vijana maofisini, manake tunasumbuliwa sana ukiwa kijana smart, HB wanajigonga balaa
Utakuta mmama anaanza mazoea ya ghafula mara umependeza, lift nyingi sometimes anakwambia ntakuwa nakupitia kituon sehem flan tuje wote ofisin. Ataanza kuomba baadhi ya seminars mwende wote, mtaanza mawasiliano unakuta unachat na mmama mzma ujinga hadi sa7 usiku daah wtf?? Anaanza jitongozesha aisee hii hali inatishaa. Nashukuru mungu haya majarib huwa nayakimbiaa japo ni ngumu sana.
Hio ndo hali halis kwa sasa kama hamfaham walioko maofisn wanajua. kama bado bhs ajiriwa ndo utajionea laivu. Kuna uchafu mwingi unafanyika nyingine siri za ofice. USIKU MWEMA WAKUU
HahahaAngalie msichezewe uvulana wenu