Yanayoendelea Maofisini kwa sisi Vijana

Yanayoendelea Maofisini kwa sisi Vijana

Vizuri umetambua kua ulikua unachati nae Ujinga hadi saa 7 usiku,kwahiyo wajinga wawili walikua wanachati ujinga,ngoma droo,kipimo cha akili ni busara na sio umri,

Dogo angalia kazi zako usije ukapoteza maisha yako kwa starehe ya madakika tu,fuata kilichokupeleka.
 
Kuna mchezo mchafu sana unafanyika maofisini kama kuna wazee wa age za 45+ huu ni uzi wenu kaeni mkijua hali ya sasa ni mbaya sana. Hawa wake zenu sijui wamewashindwa. Kuna kimchezo cha wamama watu wazima hapa naongelea wenye age ya 40+ kututaka kimapenzi sisi vijana maofisini, manake tunasumbuliwa sana ukiwa kijana smart, HB wanajigonga balaa

Utakuta mmama anaanza mazoea ya ghafula mara umependeza, lift nyingi sometimes anakwambia ntakuwa nakupitia kituon sehem flan tuje wote ofisin. Ataanza kuomba baadhi ya seminars mwende wote, mtaanza mawasiliano unakuta unachat na mmama mzma ujinga hadi sa7 usiku daah wtf?? Anaanza jitongozesha aisee hii hali inatishaa. Nashukuru mungu haya majarib huwa nayakimbiaa japo ni ngumu sana.

Hio ndo hali halis kwa sasa kama hamfaham walioko maofisn wanajua. kama bado bhs ajiriwa ndo utajionea laivu. Kuna uchafu mwingi unafanyika nyingine siri za ofice. USIKU MWEMA WAKUU
acha ushoga kamata dagaa piga.
 
Hii nayo ni habari?

Nendeni mkatombane huko, unapiga makelele ya nini?

Unataka tukushauri nini?

Haya basi mtoto mzuri, nenda kamsemee kwa mama yake eeehh. Nitamchapa mimi!
 
Uchunguzi wako umefanya maofisi mangapi dogo?

Nani kakwambia 45 Ni mzee?

Usichanganye Mambo dogo, Hilo kulumbembe lililokutaka ofisini kwenu Ni limalaya tu, usi generelise wanawake wote maofisi. We Kama umekubaliana nalo mnachat Hadi saa saba usiku tulia tu acha kuweweseka.

Unaona sifa mwanaume kupitiwa kituoni na mdada kupewa lift? Angalia utapewa na ukimwi dogo.

Umewaka sana mama
 
Hii nayo ni habari?

Nendeni mkatombane huko, unapiga makelele ya nini?

Unataka tukushauri nini?

Haya basi mtoto mzuri, nenda kamsemee kwa mama yake eeehh. Nitamchapa mimi!

Tunaongelea mambo yanayoendelea , na sijaomba ushauri wowote hapo
 
Kuna mchezo mchafu sana unafanyika maofisini kama kuna wazee wa age za 45+ huu ni uzi wenu kaeni mkijua hali ya sasa ni mbaya sana. Hawa wake zenu sijui wamewashindwa. Kuna kimchezo cha wamama watu wazima hapa naongelea wenye age ya 40+ kututaka kimapenzi sisi vijana maofisini, manake tunasumbuliwa sana ukiwa kijana smart, HB wanajigonga balaa

Utakuta mmama anaanza mazoea ya ghafula mara umependeza, lift nyingi sometimes anakwambia ntakuwa nakupitia kituon sehem flan tuje wote ofisin. Ataanza kuomba baadhi ya seminars mwende wote, mtaanza mawasiliano unakuta unachat na mmama mzma ujinga hadi sa7 usiku daah wtf?? Anaanza jitongozesha aisee hii hali inatishaa. Nashukuru mungu haya majarib huwa nayakimbiaa japo ni ngumu sana.

Hio ndo hali halis kwa sasa kama hamfaham walioko maofisn wanajua. kama bado bhs ajiriwa ndo utajionea laivu. Kuna uchafu mwingi unafanyika nyingine siri za ofice. USIKU MWEMA WAKUU
mzeee mbona kawaida wewe assume mume wake ana miaka 45 tuseme waliooana wakiwa na miaka 30 so miaka 15 he been beating the same pussy hes tired and shes tired too so both of them they looking for something new na usikute hata mume wake anajua kwamaba kuna hilo jambo kinaendelea but wewe heshimu tuu coz kila kitu kina mwenyewe
 
Back
Top Bottom