mbwe
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 1,173
- 2,873
Mwanzon watu walipokua wanaiponda mbeya nilidhan ni wivu tu.
Kwanza ieleweke mbeya ni home natokea wilaya ya Rungwe.
Juz nilikua Huko kula sikukuu Sasa wakat wa kurud ikanibid niende had soko matola kukata ticket ,kweli nikafanikiwa .
Ile nitafute lodge Sasa nikahangaika mwisho nikapata Moja chumba self nikaambiwa 25k .
Niseme tu waz sijaamin kama Ile ni lodge au ni ujinga gan ,lodge katikat ya Jiji inakua chafu kias kile ,maji yapo kwenye jaba Bomba la kizaman halitoi maji ,Kuta za Ile lodge zimejaa fungus ,yaan nililala Kwa shida Sana mule ndani .
Na hapo nikauliza Ivi lodge zote zipo hivi hasa hiz za karibu na stend nikaambiwa wewe hiyo mbona ulilala nzur Zaid ,ungechukua ya 15k ungeona maajabu.
Yaan tokea hapo nikajisemea Jiji gan hili lina lodge chafu kias hiki Tena za kizaman Sana ,sink la kuogea chafu ,maji hakuna ndani panavuka uvundo na Kila cku lodge zinajaza ila hakuna ukarabati.
Mbeya sio sehem ya kula bata kama majiji mengine yalivyo.
Dodoma mwanza ,Arusha na dar hao ndio walistahil kuwa majiji Kwa mbeya big no