Yammi: Nimelipa TSh. Milioni 100 kuondoka kwa Nandy

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Usiku wa kuamkia leo msanii Yammi amefanya uzinduzi wa wimbo wake mpya na akifanya interview na waandishi wa habari amefunguka kuwaalika wasanii Nandy na Billnass lakini hawajatokea, mbali na hilo pia ameeleza kulipa kiasi cha Milioni 100 ili kutoka katika label ya The African Princess

"Kwenye uzinduzi wa wimbo wangu niliwaalika Nandy na Billnass kupitia uongozi wangu mpya, pia Nandy ni msanii mkubwa atakuwa na mambo mengi au kazi nyingi ameshindwa kufika, na naelewa ana mambo mengi ana familia ana mtoto kwahiyo nadhani alikuwa na majukumu mengine kwahiyo ni sawa tu"

"Nilijaribu kumpigia zaidi ya siku mbili nikawa simpati, hapokei simu nadhani alikuwa busy hata mimi huwa napigiwa simu na watu nakuja kukumbuka baada ya wiki kwahiyo naelewa"

"Kuhusu kutoka kwa Nandy sijalipiwa na label yoyote bali nimelipa, kuna mtu msamalia mwema aliniona ni binti mzuri nina tabia nzuri akaamua anisaidie tu kunilipia milioni 100, alikuwa anataka pesa nyingi lakini nikamuomba kama dada akapunguza''

Soma, Pia: Msanii wa Nandy, Yammi atimkia kwingine! Aaga African Princess
 
Nampongeza msanii mkubwa Yammi kwa uungwana wa kulipa deni... wimbo aliouachia nao ni mkali balaa ingawa sijausikiliza. Kuhusu msamaria asiyejulikana naye nampongeza kwa kumlipia mtoto mzuri Yammi hilo deni. WanaJF mnaodhani 100m imelipwa kwa ahadi ya mbususu nasema MPUUZWE.
 
we kama ufungiwi ndani na ccm kuwa kimada wao sijui.Kila jambo unalijua embu tuimbie uo wimbo
 
Usiku wa kuamkia leo msanii Yammi amefanya uzinduzi wa wimbo wake mpya na akifanya interview na waandishi wa habari amefunguka kuwaalika wasanii Nandy na Billnass lakini hawajatokea, mbali na hilo pia ameeleza kulipa kiasi cha Milioni 100 ili kutoka katika label ya The African Princess

"Kwenye uzinduzi wa wimbo wangu niliwaalika Nandy na Billnass kupitia uongozi wangu mpya, pia Nandy ni msanii mkubwa atakuwa na mambo mengi au kazi nyingi ameshindwa kufika, na naelewa ana mambo mengi ana familia ana mtoto kwahiyo nadhani alikuwa na majukumu mengine kwahiyo ni sawa tu"

"Nilijaribu kumpigia zaidi ya siku mbili nikawa simpati, hapokei simu nadhani alikuwa busy hata mimi huwa napigiwa simu na watu nakuja kukumbuka baada ya wiki kwahiyo naelewa"

"Kuhusu kutoka kwa Nandy sijalipiwa na label yoyote bali nimelipa, kuna mtu msamalia mwema aliniona ni binti mzuri nina tabia nzuri akaamua anisaidie tu kunilipia milioni 100, alikuwa anataka pesa nyingi lakini nikamuomba kama dada akapunguza''

Soma, Pia: Msanii wa Nandy, Yammi atimkia kwingine! Aaga African Princess
Huyu nae kishaanza kuchanganya wananzengo tunajua katika bure asa ansema kalipa🤣🤣
 
Back
Top Bottom