yammi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kwa hili walimwengu mna maoni gani kwa Yammi

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Yammi, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kusambaa kwa video inayomwonyesha akiwa ndani ya gari huku akijirekodi na kuimba wimbo. Baada ya video hiyo kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, mashabiki na wafuasi wengi walianza kuibua mjadala na tetesi za...
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Yammy aongea kwa uchungu "Ameachwa na Dady wake" mashabiki wamchana kwa hili

    Mwanamuziki wa Bongofleva, Yammi ametangaza kuachana na mpenzi wake ambaye alimtambulisha hivi karibuni. Tangazo hilo limekuja ikiwa ni wiki kadhaa tangu mwanaume huyo kuonekana katika video ya wimbo wa Yammi, Wasiwasi. “Am single na sina mahusiano ya kimapenzi na aliyekuwa mwenza wangu. Haya...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi alivyopanda Jukwaani kucheza na Yammi

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, aliibua shamrashamra za aina yake baada ya kuinuka na kucheza jukwaani pamoja na msanii maarufu wa muziki nchini Tanzania, Yammi . Tukio hilo lilifanyika katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya...
  4. cocastic

    JamiiForums Tanzania Yammi amekutwa na nini? "Siwezi kuishi tena bora nife"

    Msanii wa kike chipukizi na maarufu, na aliwahi kuwa ktk Lebo ya African Princess iliyoko chini ya msanii Nandy, aitwae Yammi, atoa ujumbe tata ktk page yake ya IG km inavyoonekana hapo pichani chini. Ikumbukwe huyu binti ni majuzi tyuuh kaondoka ktk Lebo hiyo, na pande zote zikasema kuwa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Yammi: Nimelipa TSh. Milioni 100 kuondoka kwa Nandy

    Usiku wa kuamkia leo msanii Yammi amefanya uzinduzi wa wimbo wake mpya na akifanya interview na waandishi wa habari amefunguka kuwaalika wasanii Nandy na Billnass lakini hawajatokea, mbali na hilo pia ameeleza kulipa kiasi cha Milioni 100 ili kutoka katika label ya The African Princess "Kwenye...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Nandy, Yammi atimkia kwingine! Aaga African Princess

    African Princess Records inapenda kuwataarifu rasmi wadau wa muziki, vyombo vya habari, na mashabiki wote kuwa msanii wetu mpendwa Yasirun Yasin Shaban, anayefahamika zaidi kwa jina la kisanii Yammi, amehitimisha rasmi mkataba wa usimamizi wa kazi zake na lebo yetu ya The African Princess Label...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Huu ni usanii gani, usanii kutembea nusu utupu?

    Naambiwa huyu ni msanii wa bongo fleva. Sasa hivi kutembea uchi ni usanii gani? Hana wazazi au ndugu huyu msanii? Unaweka wazi machupi yako ndio usanii?
Back
Top Bottom