Habari zenu WanaMMU.
Natumaini mu wazima wa Afya njema na mnaendelea vyema na utafutaji wa mkate wa kila siku.
Leo nimekuja hapa kwenu nikihitaji ushauri kwa tatizo linalonikabili.
Ieleweke mimi si mchangiaji sana na wala sikuwahi kuomba ushauri hapo kabla ila kiukweli nimejifunza mengi kupitia threads za wenzangu waliokuwa wanaomba ushauri kwa matatizo yanayowakabili.
Pamoja na hayo nafahamu kuna watu humu si wastaarabu kwa maana unaweza kuta mtu ana matatizo ya kweli, badala ya kumshauri wengine watamdhihaki na wengine kwa kukosa ustaarabu wanatumia Thread ya mtu kuchat mambo yao,kitu ambacho si cha kiungwana kwa kweli.
Hivyo basi kwa kuwa mimi ni Muelewa na Ninayejitambua nimejiaandaa kwa majibu ya kuuzi na hata ya kudhalilisha maana nina uzoefu fulani na members wa humu ndani.
Back to the Topic
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20 ambaye bado niko chuo hapa Dar.
Tangu utoto wangu nilishajiapiza kwamba nitajitunza na kujiheshimu hadi hapo nitakapoanza maisha ya ndoa,kwa kiasi fulani nimejitahidi ingawa malengo yangu hayakutimia.
June mwaka huu nilibahatika kuanza mahusiano na dada fulani mzuri hivi na huyu dada ndie aliyenitongoza ingawa pia amenizidi umri kwa miaka 4,yeye kwa sasa ana miaka 24.
Nilifahamiana na huyu dada ndani ya daladala, Siku hiyo nilikuwa natoka chuo mimi na rafiki yangu na ilikuwa mida ya jioni. Gari lilikuwa limejaa kwa maana watu wote walishakaa,wachache tulisimama, Basi Baada ya kufika Goig Mbezi Beach yule rafiki yangu alishuka:Na wakati akishuka akaniaga kwa sauti kiasi akisema ''Oya Ashrough kwaheri''.
Basi gari likaondoka mbele kidogo konda akaanza kudai nauli,alivyonipita mm mara nikaona ananitikisa na kuniambiwa naitwa nyuma kucheki ndo nikakutana na huy mdada aliyenileta kwenu leo.
Nimefika pale alipokaa akaniambia namimi nikae maana siti moja haikuwa na mtu akaniuliza unaitwa Ashrough nikamwambia ndio umejuaje kumbe alimsikia rafiki yangu wakati ananiaga basi akanipa contact akasema atanitafuta sababu alikuwa anashuka kituo kinachofata.
Kiukweli huyu dada ni mzuri haswa siwezi kumuelezea na ni Mixture ya Mchaga na Mzigua.
Basi siku zikapita tunachat sana mara kupigiana simu ndo ikafika siku akasema anataka tukalale.Mimi nikamkatalia nikamwambia kama ananipenda kweli tukapime nashukuru yule dada ni muelewa,Basi tukapanga na kisha tukaenda kupima pale Magomeni Hospital.Daktari akatupima magonjwa yote hadi Gonorrhea yako poa.
Yule dada aliifurahi sana shida ikaja mimi bado bikra sijawahi kusex mdada akaniambia usijali nitakufundisha...Basi siku hiyo nikaaga home naenda kwa ndugu kusalimia nikakutana nae hadi Lodge kalipa chumba tukalala....Basi mpaka sasa nimedate nae kama mara tano hivi kiukweli nampatia maana haachi kunisifia.
Na huyu mdada nae yupo chuo ingawa hatusomi pamoja na kaniambia ana jamaa yake kazaa nae mtoto wa kike yuko kwa bibi yake huko moshi mtoto ana 3 years na huyo jamaa yake yuko South Africa anafanya kazi huko na kiukweli mdada ananisaidia sana kama pesa ya chakula,vocha n.k
Tatizo liko hapa wiki mbili nyuma alinitext ananiambia ''Baby kesho nataka ufanye kwa nyuma''nikamwambia usijalo,kumbe sikumuelewa tulivyokutana tena lodge last week si ndo akaniambia anataka nimfanye nyuma.
Mimi nilishangaa sana maana mdada mwenyewe ukimuona huwezi kudhani kama ni mshenzi kiasi hicho.
Nikamkatalia nikamwambia siwezi maana imani yangu inakataza na pia nikamuelezea madhara ya uchafu anaotaka tufanye basi tulishinda humo ndani tunabishana demu hataki kunielewa na mimi kwa hasira nikaamua kuondoka na sasa ni siku ya sita nimemchunia jana kanitext anaomba tuonane.
Je,wakuu huyu dada ananifaa kweli maana amenisaidia sana na ndio msichana wangu wa kwanza ila anachotaka sasa mimi nashindwa kumuelewa.
Naombeni Msaada Wakuu
Natanguliza Shukrani