Wewe ndo utafakari. Kuzini siyo dhambi au la. Nijuavyo mimi hakuna dhambi ndogo wala kubwa. So kama hutaki kufanya huko isiwe ni katika misingi ya imani za dini maana umeshazivunja. Tafuta sababu zingine za kukataa. Ndo maana hata huyo dada anakushangaa upeo wako wa kuelewa maana kama ni dhambi mnashiriki tayari.Najua nimeshafanya kosa Mkuu,lakin kipi bora sasa nizidi kufanya kosa
au niache???...Tafakari
Weweeeeeeee kimbia hapakufai hapo,mlie bati, mtoto wawa tu wewe bado mlittle lol!!
:what::what:
Ivyo yaani, utanisomaa tu
Amlie bati ndiyo nini dogo?
Jipange vizuri maana kama story yako ni ya ukweli ulianza na huyo mke wa ntu ukiwa na miaka 19. Wewe unasoma CBE. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/311908-hostel-hostel-cbe-sabasaba.html
Wewe ndo utafakari. Kuzini siyo dhambi au la. Nijuavyo mimi hakuna dhambi ndogo wala kubwa. So kama hutaki kufanya huko isiwe ni katika misingi ya imani za dini maana umeshazivunja. Tafuta sababu zingine za kukataa. Ndo maana hata huyo dada anakushangaa upeo wako wa kuelewa maana kama ni dhambi mnashiriki tayari.
Pili unauliza anakufaa au hakufai. Mimi nafikiri ana kufaa. Tangaza ndoa kabisa. Na ukimwacha utajuta.
Rafiki, miaka 20 you still have a long way to go!!
1. Huyo dada ana mengi sana ambayo bado huyajui. Kwa masomo yako na kwa umri wako, hustahili kujiumiza kwa stress za aina hii.
2. Chukua maamuzi magumu, ingawa haitakuwa rahisi kwa sababu she is your first love. Nina imani first love wake akirudi, utawekwa reserve!
3. Achana nae, uliyoyaona yatoshe kukuingiza ktk ulimwengu huu batili wa mapenzi. Yakujenge,Yakupe nguvu, wanawake wazuri kwa sura na tabia hawaishi. Relax ni mtihani umepitia.
^^
Asante Sana Mkuu Himidini,kwa kweli ushauri wako ni bora sana kwangu na utanisaidia...Si kila mtu humu anafaa kuitwa Great Thinker,ila kwa jinsi ulivyoshauri,lugha nyepesi ya kueleweka uliyoitumia,umenishauri kana kwamba mm ni mwanao kwa upole na kwa kujali upeo wangu.
Na kwa mtazamo wangu ww ni muelewa haswa,unajali na unajua kuthamini ni kitu kizuri kupata ushauri kama huu kwa mtu kama ww,siyo wengine wenye dharau,kiburi na majibu ya hovyo kabisa.....Asante sana...May God right your dreams and forgive you for your sins.
Kijana komaa na Shule ndo mwanga Wa maisha yako ya baadae. Huyo Mdada anakupiteza. 20 yrs we bado mdogo sana soma Mdogo wangu achana na uyo Dada kashindikana kama anaweza kumsaliti mumewe akiwa SA je Wewe unafikiri ni mtu Wa ngapi anacheat nae. Jiulize sana huyo ni shetan mwepuke sana.