Hakuna jinsi Zaidi ya kumsamehe au kutatua hizo kero zeno, huwezi ishi kwa Amani hata siku moja kama una chuki na mtu, tena ukizingatia mnaishi nyumba moja, samehe na sana umuombe mungu akupe moyo wa subra na uvumilivu, hakuan njia sahihi Zaidi ya kusamehe, dawa hapo nikumpenda tu na neon adui lipite.
Pole. Ila kama mdau hapo juu alivyokwisha sema hakuna thawabu utakayo pata kama kumsamehe mtu ambaye hajakuomba msamaha. Pia jitahidi umpende kwa yale mazuri yake na ignore yale yanayokukera. Jaribu utakuja kuniambia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.