Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
Wewe ni mwanaume wa kweliii....just singing!!
Ulikumbuka kutumia?
dahh ndugu yangu huo sio msaada niliokua naomba kwanza nawaza mambo mengi maana wife sidhani kama aneweza samehe hii kitu lengine pia hao mtaani sijui ntakatizaje??
hakun a kitu kaamhicho bana hivi angemkuta mkewe kapitiwa na shetani kwa siku ya kwanza home kwake na yuko na mdogo wake ingekuwaje?
Habarini za asubuhi ndugu zangu naombeni ushauri wenu wa dhati maana niko njia panda sijui lipi la kufanya,mimi naishi Arusha nina mke na watoto wawili sasa hivi karibuni kama miezi 5 iliyopita nilipata mgeni pale nyumbani kwangu ni binti kama wa miaka 20 ni ndugu yake na wife.yule binti kwakweli ni mrembo sasa shetani alinipitia nikajikuta natembea nae, hako ka mchezo hua nakafanyia hapohapo nyumbani mda labda wife hayupo na msichna wa kazi sometime hayupo .sasa msichana wangu wa kazi alishtukia huo mchezo ndipo alipomweleza wife kila kitu, wife nae akambana yule ndugu yake hadi akakubali kua ni kweli hua na duu na baba mda ukiwa haupo,yaliyo nikuta nikwamba nimewekwa kikao na binti akaongea yoote mbele ya kadamnass ndugu zangu ni aibu maana majirani wanajua hadi watoto wanajua sasa niko njia panda sijui nianzie wapi nahisi ndoa yangu ndoa bass tena ,emebidi nitoke home kwa mda niko kwa washkaji angalau labda hasira ya wife itapungua
dahh ndugu yangu huo sio msaada niliokua naomba kwanza nawaza mambo mengi maana wife sidhani kama aneweza samehe hii kitu lengine pia hao mtaani sijui ntakatizaje??
Tafuta hela ya kutosha...mpeleke dubai hapo akale sushi, utaona tabasamu linakuja lenyewe....usirudie tena lakini
akili za kiume sijui zikoje.
under yr roof?? bora hata ungeenda mbali aisee
wajameni huyu mpendwa kweli yamemkuta haya mambo mbona yuko comfotable kujibu maoni ya wa2 au ndo yaleyale wa2 kujitungia thread humu ndan na kujaza heading asubui yote hiii
muangukie wife,kiri makosa yako mueleze unatambua umemkosea,unatambua umemvunjia heshima lakini vile vile unatambua ni kiasi gani umemuumiza,mwambie once is a mistake but twice is a sin,kama wife nimuelewa atakusamehe kwasababu binadamu tumeumbiwa makosa.
pole mzee mwenzangu duh1 hapo sasa naww inabidi uzuge unahasira mbay na kila mtu hii itapunguza maswli na wengne watjihc wamekukosea by the way hapo ni kwako bhan cyo kwa mwanamke