Yamenikuta, wife akuta condom kwenye suruali yangu

Sijui ntasolve vipi hii kitu ina ushahidi maana nilisahau kwenye mfuko wa suruari nilikuwa nimeivaa jana kwenye kamchepuko. Mbaya zaidi ilibaki moja katika packet ya condom tatu nikasahau kuitupilia mbali. Alikuwa anaanza kunihoji kuhusiana na hili sakata mara mgeni akaingia, sasa natoka kumsindikiza mgeni ndo narudi home nawaza sijui ntazugaje anielewe. Duh! Kweli mchepuko sio dili. Mwenye uzoefu na hii kitu ambaye ameshawahi kupatwa na mkasa kama huu aniambie alitatua vipi.

Mwambie ni za promo mlipewa kazini.
 
why do you cheat? menn hili Swali Mungu anajua jibu na adhabu
 
mh,kwanza kwanini uchepuke,na siku za mwizi arobaini,hakuna cha ushauri hapo ,ushauri wa nini na ili iweje,ili uje uchepuke tena,huo ni mzigo wako ubebe,
 
Sijui ntasolve vipi hii kitu ina ushahidi maana nilisahau kwenye mfuko wa suruari nilikuwa nimeivaa jana kwenye kamchepuko. Mbaya zaidi ilibaki moja katika packet ya condom tatu nikasahau kuitupilia mbali.

Alikuwa anaanza kunihoji kuhusiana na hili sakata mara mgeni akaingia, sasa natoka kumsindikiza mgeni ndo narudi home nawaza sijui ntazugaje anielewe.

Kweli mchepuko sio dili. Mwenye uzoefu na hii kitu ambaye ameshawahi kupatwa na mkasa kama huu aniambie alitatua vipi.

Ukitaka yaishe we kunywa sumu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom