NATTA WITO
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 228
- 97
- Thread starter
-
- #41
huyo anahitaji kutolewa pepo ana pepo la ngono. Mwambie na wewe unampenda ila unamuomba muende kwa mzee wa upako kwa ajili ya kufanyiwa maombi kwanza.
hapo cha muhimu ni msimamo wako tu na kama huna nia naye sidhani kama utakosa cha kumwambia na yeye kuacha hiyo tabia.
ukihama halafu huko ulikohamia nako ukatongozwa utahama pia? Hujui hata ku-block namba? Ushaonyesha kutaka-hutaki ndo maana ana imani atakupata tu. Mlie jiwe uone kama ataendelea kukusumbua.
upuuzi huu nao wewe ulimpa namba kwa malengo ya kupata papuchi sasa iweje unalalamika?
unaogopa kumfanya adui?? Wewe ni vipi ? Mwambie hapana inayomaanisha, na hakuna kuhama
Wakati mke wa mtu akikusumbua, huenda hata mumewe anamsumbua mkeo...
Karibu uswazi bro
muwekee taarabu
haa haa utamuua huyu jamaa kwa pressure
true mkuu! Cjawahi tunga stori thats why huoni nina post nyingi huku mmu!hizi naona ni danganya toto za jf, wachache sana wana uwezo wa kukataa offer kama hizo
sina uhakika kama na we ni mmoja wao??
Mkuu usiseme hvyo inakera unajua, jamaa kavumilia kashindwa na hataki matatzo na mtu...hata mm nlishawahi tongozwa na mke wa mtu kabsa tena akiwa na pete ya ndoa kidoleni....nlipata shida sana ikafika wakati nikawa namkimbia kabsa na sitaki pishana nae njia moja. Ni mambo mengi alikua akinifanyia, nashukuru Mungu nliyashinda yote. Jamaa amekuja humu JF kuomba msaada wa mawazo. Mtu ukijiheshimu huwez kubaliana na hali kama hyo. ushauri wangu kwake ni ahame hyo nyumba mkataba ukiisha. Huyo mwanamke anaweza akamfanyia jamaa ushenzi ikawa matatzo siku za usoni. Ni bora kujihami mapema.
nimemzuia hata kupiga simu yangu lakini nikiondoka asbh tu kazini kuvuka gate simu zinaanza na saivi sipokei kbs
kachukua namba kwa effort zake kupitia madogo home i swear to god! Believe si hadithi ni ukweli nahangaika ucpime kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu kutoka kwa huyu dada.
Unauhakika gani huko atakapo hamia hata pata shida kama hiyo tena