NATTA WITO
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 228
- 97
Pambafff, kamsemee kwa mkeo au mumewe.
pambafff, kamsemee kwa mkeo au mumewe.
mmmmmh!!!!!!!!!umechomoa kweli?
mbona sisi tunasumbuliwa lakini hatusemi..acha kumu entertain bana
usipokee smu zake wala usimjbu sms..time and ikfka hama...
mbona sisi tunasumbuliwa lakini hatusemi..acha kumu entertain bana
Kweli bwana khaaa wanaume wanaitutongoza tungekuwa tunaenda kusema ingekuwaje?
ndo ninachokifanya kwa sasa mkuu
Ingekua kama tunawaambia kila anaetutongoza mweee kama kuandika wangejaza kaunta book kumi za kwaya four
mkuu mbona hili swali ulilouliza rahisi sana? Hebu lipeleke kwa wanafunzi wa form two uone wangapi watalijibu perfectly....
Nawasiwasi tunapoelekea hatutakua tunatumia akili zetu kuchukua maamuzi. Yaani kweeeli unauliza ufanyeje? Yaani hujui cha kufanya? Nawasiwasi unatania tuu..
Hebu swahiba#mr.rocky na #utafiti labda mtamjibia hili swali, hajui afanyeje? (mke wake yupo, mume wa huyo mdada yupo)