Pole sana mkuu..nahisi hizo ids ni fake pia mkuu
kwel dunia tambara bov
poa mkuu najaTukutane pm tuyajenge.
Hatakuja kusaha maishani mwake.
Mahakama ya kimila haikusiki.
Mtu una matatizo halafu unatoa asset yako unayoitegemea kukutatulia matatizo yako bila ya kujiuliza maswala ya msingi? Utakuwa una roho ya kitajiri mkuu, maskini huwa tunakuwa very suspicious.matatizo made me do so jamani haikua kwa mapenzi yangu[emoji17]
yani na posts zake anavotoaga facts ciamini kama ni yeye amefanya hiviPole sana mkuu..
Labda wewe vumilia inawezekana ni mtu muaminifu pengine kuna jambo limemsibu au lah, kama atakutapeli basi hope kuwa utapata zaidi, japo inauma kweli!
cause ilikua ni kitu cha haraka aiseMtu una matatizo halafu unatoa asset yako unayoitegemea kukutatulia matatizo yako bila ya kujiuliza maswala ya msingi? Utakuwa una roho ya kitajiri mkuu, maskini huwa tunakuwa very suspicious.
Mbona hiyo Username ukiimention haipo?
Tunaanzia hapo hawezi kuwa na vitu vyote hivyopoa nilitaka kufanya hivyo ila naogopa incase hizo id hazikua zake then niishie kuchafua mtu asiyehusika halitakua jambo la busara