Yamenikuta! Nimetapeliwa simu..

Yamenikuta! Nimetapeliwa simu..

maji maref

Member
Joined
Nov 18, 2016
Posts
63
Reaction score
16
Wana jukwaa habarini,

Juzi juzi nilieka advert ya kuuza sim humu JF, basi wakatokea watu waka ni PM na mmoja wao alikua anatumia username Deimos, basi akaniambia yupo Tabora na yupo interested na biashara hiyo basi tukaanza mawasiliano akaomba nimtumie then malipo baada ya kuukagua (hapa ndipo nilipoaribu), basi nikajipinda kumtumia maana gharama za ulipaji zilikuwa kwake then alinitumia picha za id zake yani card ya bank, kadi ya kura.

Kitambulisho cha mfanyakazi na picha zake pia then navyoona anatoaga hoja zenye akili humu JF mimi nkamwamini lakini sasa ameshapata simu namwambia anilipe simu hapokei, Whatsapp kaniblok na number yake ni 0765455013 alijitambulisha kwa majina yake halisi.

Nifanyeje jamani? Kwa sababu niliuza hivyo nipate ata ada ya mdogo wangu but kanitapeli sijui nianzie wapi.. Yaani naona kama ule mziki wa harmonize "matatizo" unanilenga mie.
=======

Updated: Nimetaka kuweka hizo ID na picha ila ninahofia endapo sio yeye nitakua na kosa la kuchafua mtu mitandaoni na mwishowe hilo kosa litanitafuna mimi nipate matatizo mengine.
 
pole sana Mkuu, DUNIA ya sasa ukimwamini mtu umefanya makosa.
Hatutakiwi kumwamini mtu yeyote.
 
Pole mkuu, ndio process ya kukua hiyo. Lazima upitie vihatua kama hivi, na hakika hutarudia tena.
dah acha tu kk ni stress juu ya stress na sim hii nilikopa nkitegemea kulipa akinipa hiio
kwel vitochi vitanihusu saivi
 
Hivi kumbe kuna deals huwa zinafanyika humu. ? Sikuwa najua. Pole Sana.
 
Mh kuna watu wa ajabu ajabu Duniani hapa hivi unawezaje kumwamini mtu
 
Daaah pole...kosa ulilofanya ni kumuamin mtu na kumtumia kabla hajatoa chochote...yn usirudie . .biashara za mtandaoni ni htr tena mkoa tofauti...
Pole sana...endelea kumtafuta
 
Pole sana, ila jipange kutafuta ada nyingine maana kumtafuta ni gharama nyigine.
 
Hapo kubali tu ndugu umeliwa, mtu mwenyewe mchaga. Halafu, unamwamin vip mtu kwa kukutumia tuu picha ya kadi. Hiyo hata ningekuwa mimi Bali, ungenishawishi nikutapeli asee.
 
Back
Top Bottom