binti wa kikwere
Member
- Sep 5, 2014
- 67
- 34
Nina mpenzi wangu ambaye alinidanganya kuhusu umri wake , kutokana na umbo lake kubwa wala sikutia shaka jana ndio nimekibamba kitambulisho chake cha kupigia kura kumbe mimi ndio nimemzidi miaka 8 nilighafirika mno sikupanga kungonoka na mtu niliyemzidi umri kiasi hicho sikujua kumbe nilikuwa najidhalilisha naona hadi aibu kumvulia tena chup* NIPENI POLE
unanikumbusha vikauli vya mama wa kwanza...."Mtoto wa mwenzako mkubwa mwenzio akizuka zuka nae...."
MiNina mpenzi wangu ambaye alinidanganya kuhusu umri wake, kutokana na umbo lake kubwa wala sikutia shaka jana ndio nimekibamba kitambulisho chake cha kupigia kura kumbe mimi ndio nimemzidi miaka 8 nilighafirika mno sikupanga kungonoka na mtu niliyemzidi umri kiasi hicho sikujua kumbe nilikuwa najidhalilisha naona hadi aibu kumvulia tena chup*
NIPENI POLE