Yamenikuta mie!!

Yamenikuta mie!!

ma2mbo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
697
Reaction score
327
NiliyemBEEP kanitumia tafadhali nipigie...
 
Mastomach!
Mambo?
Kwani ulimtumia crdt ?
Mi nna dadangu anafanya Airtel tena kitengo cha kuratibu crdt , bt sometyms hua ananibeep!
Sindwa kusangaa! Hata Kenyatta city mortuary kuna wakati maiti huisha ! Na Mortuary kubakia tupu !
 
mambo kwa Yesu!

Sikumtumia crdt wala nini...vipi lakini mkuu uyo sista wako ameolewa?
 
Ukiona kwako kumeinama, jua kwa wenzio ndo kumelala kabisaaa!
 
Mkuu huenda nae akawa hana salio! Ingawaje ni ngumu kujua kama hiyo tafadhali nipigie yake nae alikuwa hana salio.
 
hali mbaya, me leo siku ya 4 cm yangu haina salio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom