Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra

Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra

mpyepye

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
251
Reaction score
51
Wanajamvi habari zenu. Mimi nina mchumba wangu ambaye ni mkristo mwenye imani sana na dini yake. Mtaratibu, mpole, na ana heshima sana. Katika mahusiano yetu hatujawahi kufanya mapenzi mpaka tutakapofunga harusi na pia ni bikra. Nilipata safari kwa mda nimerudi nimemkuta amejifungua mtoto wa kiume. Nimeshangaa namuuliza kulikoni, anadai mimba hiyo alipewa na malaika.

Nimemwamini ila nikamuambia kama ndivyo basi huyu mtoto atakuwa nabii hivyo amsimamishe ili atembee juu ya maji kama Yesu, akaniambia amefunuliwa ndotoni kuwa mtoto huyo ataanza kufanya maajabu atakapofikisha miaka mitano.

Hapa nimeanza kupata shaka naombeni ushauri
 
  • Thanks
Reactions: amu
Sijaelewa, bikra halafu amejifungua mtoto? 😕😕😕
 
ooovyoooo...eti ana imani sana na dini yake....umechezewa sinema ya mama kuku na vifaranga wake....mama tunataka kunyonya....mama anawajibu msihofu mtanyonya KESHO....pungazeze...
 
Wanajamvi habari zenu. Mimi nina mchumba wangu ambaye ni mkristo mwenye imani sana na dini yake. Mtaratibu, mpole, na ana heshima sana. Katika mahusiano yetu hatujawahi kufanya mapenzi mpaka tutakapofunga harusi na pia ni bikra. Nilipata safari kwa mda nimerudi nimemkuta amejifungua mtoto wa kiume. Nimeshangaa namuuliza kulikoni, anadai mimba hiyo alipewa na malaika.

Nimemwamini ila nikamuambia kama ndivyo basi huyu mtoto atakuwa nabii hivyo amsimamishe ili atembee juu ya maji kama Yesu, akaniambia amefunuliwa ndotoni kuwa mtoto huyo ataanza kufanya maajabu atakapofikisha miaka mitano.

Hapa nimeanza kupata shaka naombeni ushauri!

Mmhhh, wamekuingizia wajanja. Ni bora angekuwa na imani kwa Mungu wa Mbinguni, lakini ana imani ya dini tuu, sijui. Ni dini gani hiyo....mizimu ama???
 
Una akili za kitanzania hongereni sana mmezaa nabii, mbona Yusup alikubali?
 
Usihofu, miaka mitano si mingi. Juzi tuu tulimchagua rais kipindi cha pili, sasa ana aga aga watz. Nawe ngojea kama unamwamini. Mtwae awe mkeo ila usim do mpaka ajifungue huyo mtoto hata kama kafanana na jirani usijali. Nabii hufanana na watu wake. Hata akijifungua, ili maajab yatokee vizuri, mtunze vizuri mamake mpaka mtoto akuruhusu kumletea mdogo wake. Utapata baraka na hishima kwa Muumba wako.
 
naogopa kusema ukweli yakinifu kuhusiana na dhamira za thread hii, kwa sababu ya kula ban,
 
Muambie akamlee huyo mtoto na malaika aliompa mimba :lol: :lol:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom