Yamebaki masaa machache NIMUACHE DEMU WANGU

Yamebaki masaa machache NIMUACHE DEMU WANGU

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Yani tumekaa miaka miwili hatujawahi kusex hata mara moja, naona uvumilivu umenishinda. SI MUDA MREFU NITAANZA KUM-CHEAT na sitaki kumuumiza moyo wake bora nimuache tu.
 
Vumilia ndugu yangu, hakuna kitu kizuri kama kumjua mke wako siku ya honeymoon.Unless kama hauna future nae sawa lakini kama una future nae lazima uwe na uvumilivu na uweze kuyastahimili majaribu
 
utamchitije kabla ya kumdinya?

Huna kesi, mkataba wenu ni void.
 
sasa si uoe miaka 2 unangoja nn? angekuwa dadaako je ungekubali aliwe kiboga?
 
Yani tumekaa miaka miwili hatujawahi kusex hata mara moja, naona uvumilivu umenishinda. SI MUDA MREFU NITAANZA KUM-CHEAT na sitaki kumuumiza moyo wake bora nimuache tu.

Usikate tamaa wewe!! Vumilia very soon " utapuliza" kimwana


Sent from my IPhone using Tapatalk
 
Yani tumekaa miaka miwili hatujawahi kusex hata mara moja, naona uvumilivu umenishinda. SI MUDA MREFU NITAANZA KUM-CHEAT na sitaki kumuumiza moyo wake bora nimuache tu.

Miaka 2tu! Mi ilifika miaka 3,bila kula tunda na ndani ya hiyo miaka ckumcheat!! Up to now niwapenzi na future zet ziko palepale!! VUMILIA
 
vumilia man mbona hilo tunda utakula mpaka ulichoke ama huna mpango nae nini? Kwani mnataka kufunga ndoa lini?tujulishe tuweze kukupa ushauri zaidi.
 
Muache haraka ahamie kabisa kwangu maana nlikuwa naogopa kwamba n wako so nkawa namuiba muache mi nchukue jumla.
 
Tulia kijana acha papara hyo kita itakunogea sana ukisubiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom