Yameanza Kunyonyoka Sasa

Yameanza Kunyonyoka Sasa

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
567
Reaction score
1,565
Uchaguzi huu unanikumbusha mbali sana,

Unanikumbusha hadithi moja nzuri sana ya Kobe na Ndege Mjanja.

Ilitokea siku moja ndege wenye mabawa walikua na sherehe (Kalamu), walikubaliana waluke mbali kwenye Mti moja mkubwa sana.

Sasa ndege huyu mjanja alimdanganya Kobe nae aende kwenye hiyo sherehe, lakini Kobe alihoji akasema nitaendaje wakati mimi sina Mabawa. Ndege huyo mjanja alimwambia Kobe usijari rafiki angu nitakutengenezea mabawa ya bandia. Siku ilipowadia kweli ndege huyu mjanja alimbandika Kobe mabawa ya bandia kwa gundi.

Baada ya Kobe kubandikwa mabawa ya bandia alifurahi sana na safari ikaanza, wakaungana na ndege wengine akaruka wakafurah na kuimba, wakati wanaendelea kuimba na kufurahia Jua nalo liliendelea kuchomoza na kuongeza makali, hii hali ilianza kumpa hofu Kobe huyo lakini hakujali sana na akaendelea kuruka juu zaidi, Jua nalo likaongeza makali na manyoya ya Kobe yakaanza kunyonyoka, wakati sherehe inaendelea kunoga ndivyo manyoya ya Kobe yalizidi kunyonyoka akaanza kulia ya wengine yananyonyoka, ya wengine yananyonyoka, ndege hao hawakujali waligundua kua Kobe hakua mwenzao hata yule ndege mjanja hukujali pia na mwisho wa siku Manyoya yaliisha na akaanza kuanguka chini kwa spidi ya ajabu akaangukia pua akafa.

Sasa tuangalie mfanano wa hadithi hii katika Uchaguzi wetu.

Magufuli ni kama Kobe kwenye hadithi yetu, sio mwanasisa mwenye kuaminiwa na CCM kupewa nafasi ya kugombea uraisi, imelazimishwa na amelazimishwa tu kama Kobe alivyolazimishwa kushiriki Sherehe ya ndege walukao sasa kadri muda unavyokwenda ndivyo Magufuli anaonekana tofauti na wenzake kama vile kobe alivyotofautiana na Ndege walukao, manyoya yakaisha Kobe akaanguka akafa na ndivyo itakavyokua kwa Magufuli.

Asanteni
 
Napenda kumalizia hapo ...kobe akaanguka akafa na ndivyo itakavyokua kwa Magufuli. Na hivyo hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa CCM! Amin
 
Hadithi ina angaza uhalisia.
Kweli manyoya yananyonyoka na punde tutasikia puuuuu
 
Uchaguzi huu unanikumbusha mbali sana,

Unanikumbusha hadithi moja nzuri sana ya Kobe na Ndege Mjanja.

Ilitokea siku moja ndege wenye mabawa walikua na sherehe (Kalamu), walikubaliana waluke mbali kwenye Mti moja mkubwa sana.

Sasa ndege huyu mjanja alimdanganya Kobe nae aende kwenye hiyo sherehe, lakini Kobe alihoji akasema nitaendaje wakati mimi sina Mabawa. Ndege huyo mjanja alimwambia Kobe usijari rafiki angu nitakutengenezea mabawa ya bandia. Siku ilipowadia kweli ndege huyu mjanja alimbandika Kobe mabawa ya bandia kwa gundi.

Baada ya Kobe kubandikwa mabawa ya bandia alifurahi sana na safari ikaanza, wakaungana na ndege wengine akaruka wakafurah na kuimba, wakati wanaendelea kuimba na kufurahia Jua nalo liliendelea kuchomoza na kuongeza makali, hii hali ilianza kumpa hofu Kobe huyo lakini hakujali sana na akaendelea kuruka juu zaidi, Jua nalo likaongeza makali na manyoya ya Kobe yakaanza kunyonyoka, wakati sherehe inaendelea kunoga ndivyo manyoya ya Kobe yalizidi kunyonyoka akaanza kulia ya wengine yananyonyoka, ya wengine yananyonyoka, ndege hao hawakujali waligundua kua Kobe hakua mwenzao hata yule ndege mjanja hukujali pia na mwisho wa siku Manyoya yaliisha na akaanza kuanguka chini kwa spidi ya ajabu akaangukia pua akafa.

Sasa tuangalie mfanano wa hadithi hii katika Uchaguzi wetu.

Magufuli ni kama Kobe kwenye hadithi yetu, sio mwanasisa mwenye kuaminiwa na CCM kupewa nafasi ya kugombea uraisi, imelazimishwa na amelazimishwa tu kama Kobe alivyolazimishwa kushiriki Sherehe ya ndege walukao sasa kadri muda unavyokwenda ndivyo Magufuli anaonekana tofauti na wenzake kama vile kobe alivyotofautiana na Ndege walukao, manyoya yakaisha Kobe akaanguka akafa na ndivyo itakavyokua kwa Magufuli.

Asanteni

Nimepapenda hapo ti ya wengine yananyonyoka badala aseme manyoya yangu yananyonyoka!
 
Siku zinavyozidi kuyoyoma naona manyoya yanazidi kubanduka
 
tusisahau sherehe ya kuiangusha ccm kila mtu walau anunu kilo moja ya maini na juice watoto tusherehekee ila mi ntakuwa pale uhuru park narobi nikinywa mvinyo wa kiitaliano mana nikipiga kura nitaingia mzigoni ila lindeni kura makamanda
 
Hahahahhh roger that!!!!
 
simulizi yako nzuri lakini maana yake ni kweli ama sio kweli na ni kinyume chake
 
Kobe hapo ni lowasa, huyu bwana kadandia sherehe ya ukawa na ataanguka na kufa kisiasa kifo kibaya saaana, bora ngemuacha SLAA mtu aliyekitumikia chama kwa uaminifu leo mnamkaribisha lowasa mamluki
 
tusisahau sherehe ya kuiangusha ccm kila mtu walau anunu kilo moja ya maini na juice watoto tusherehekee ila mi ntakuwa pale uhuru park narobi nikinywa mvinyo wa kiitaliano mana nikipiga kura nitaingia mzigoni ila lindeni kura makamanda

Kwakua wewe unaajira unawatia ujinga wenzio wakalinde kura. Mabwege nendeni mkalinde kura.
 
Hii hadithi kutumika kuwa mfano kwa magufuli inahitaji hisia kuelewa na si akili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom