Yaliyotokea UDA ndiyo yatakayoipata Simba.

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Huyu Mr MO amekabidhiwa simba bila hata kutoa fedha ambazo zinampa share anazo miliki.

Sinahakika kama huyu bwana anahitaji simba zaidi ya kutaka raslimali za simba kwa ajili ya biashara zake na matangazoya biashara zake kwa kupitia simba.

Tunaomba vyombo vya usalama wekeni macho yenu karibu. Hatutaki mambo ya UDA yatupate club kwongwe na yenye heshima kama simba.

Yangu macho.
 
Nyie watu mna fikra za kijamaa kwenye hela za watu. Yaani huwa mnataka Klabu iwe na "Mfadhili" ila huyo mfadhili akitaka awe mmiliki mnaanza gubu. MO anavyotoa hela alizopata toka kwenye biashara zake huwa mnadhani anatoa kwa kuwa hana kazi nazo?

Tatizo la Simba ni "Uswahili". Unaposema unampa mtu hisa si lazima zikokotolewe toka kwenye thamani ya rasirimali zilizopo. Leo hii nani anajua thamani ya Simba?

Mnataka MO atoe bilioni 20 kwa yale Majengo yenu mawili pale Msimbazi na ule uwanja wa Bunju ambao haujaendelezwa?
 
Mnataka MO atoe bilioni 20 kwa yale Majengo yenu mawili pale Msimba na ule uwanja wa Bunju ambao haujaendelezwa?
Acha ujuaji..
 
Acha ujuaji..
Si umeleta hoja ijadiliwe? Kama Mo anatakiwa atoe bilioni 20 kama thamani ya Hisa 49% anazotakiwa kuuziwa Simba, hiyo maana yake Klabu ina thamani zaidi ya shilingi bilioni 40. Sasa uthibitisho kwamba Klabu ya simba ina thamani zaidi ya shilingi bilioni 40 tunaupataje kama si kwa kuziona hati za mali na hesabu za mapato na matumizi ya Klabu?

Sisi wengine ni Simba maendeleo siyo simba Sunderland!!
 
Huyu Mr MO amekabidhiwa simba bila hata kutoa fedha ambazo zinampa share anazo miliki.

Sinahakika kama huyu bwana anahitaji simba zaidi ya kutaka raslimali za simba kwa ajili ya biashara zake na matangazoya biashara zake kwa kupitia simba.

Tunaomba vyombo vya usalama wekeni macho yenu karibu. Hatutaki mambo ya UDA yatupate club kwongwe na yenye heshima kama simba.

Yangu macho.

Hivi jamani nyie Sunderland; bilioni 20 kweli mnazijua na je zilitakiwa zitoke kwa utaratibu upi..??
Mambo mengine mnajitakia presha za reja reja tu..!!
 
Hivi jamani bilioni 20 zilitakiwa zitoke kwa utaratibu upi..??
Mambo mengine mnajitakia presha za reja reja tu..!!
Hoja hapa ni thamani ya Klabu kwanza ijulikane. Kama bilioni 20 ni sawa na 49% ya Klabu ya Simba, basi upande wa kina Kilomoni waoneshe kwa ushahidi kwamba Simba ina thamani zaidi ya shilingi bilioni 40!!

Makelele meengi hayasaidii. Mambo ya hisa ni masuala ya kitaalamu na yanayongozwa kwa kanuni zake. Blah blah za kuwa na hati ya Sunderland hazisaidii sana sana zitawafurahisha wapenda mazingaombwe ya hao wazee!
 
Nyie Sunderland endeleeni na Klabu yenu hii simba tuachieni tunaotaka mabadiliko ya soka nchini.

Watu wanashabikia Klabu za ulaya kwani wanamiliki hisa kwenye hizo Klabu? Sisi tunataka Simba imara inayoleta matokeo mazuri uwanjani kwa kuwa na timu bora na wachezaji wenye morali.
 
Huyu Mr MO amekabidhiwa simba bila hata kutoa fedha ambazo zinampa share anazo miliki.

Sinahakika kama huyu bwana anahitaji simba zaidi ya kutaka raslimali za simba kwa ajili ya biashara zake na matangazoya biashara zake kwa kupitia simba.

Tunaomba vyombo vya usalama wekeni macho yenu karibu. Hatutaki mambo ya UDA yatupate club kwongwe na yenye heshima kama simba.

Yangu macho.
Wewe shabiki la ombaomba fc a.k.a makwasukwasu fc mambo ya simba yanakuhusu nini...kwani yakitukuta nyi yanga yatawahusu nini...kwa taarifa yako wanachama tulishaamua na mchakato upo mwishoni kukamilika...TABU IPO PALEPALE
 
Nyie watu mna fikra za kijamaa kwenye hela za watu. Yaani huwa mnataka Klabu iwe na "Mfadhili" ila huyo mfadhili akitaka awe mmiliki mnaanza gubu. MO anavyotoa hela alizopata toka kwenye biashara zake huwa mnadhani anatoa kwa kuwa hana kazi nazo?

Tatizo la Simba ni "Uswahili". Unaposema unampa mtu hisa si lazima zikokotolewe toka kwenye thamani ya rasirimali zilizopo. Leo hii nani anajua thamani ya Simba?

Mnataka MO atoe bilioni 20 kwa yale Majengo yenu mawili pale Msimbazi na ule uwanja wa Bunju ambao haujaendelezwa?
waambie!
 
Huyu Mr MO amekabidhiwa simba bila hata kutoa fedha ambazo zinampa share anazo miliki.

Sinahakika kama huyu bwana anahitaji simba zaidi ya kutaka raslimali za simba kwa ajili ya biashara zake na matangazoya biashara zake kwa kupitia simba.

Tunaomba vyombo vya usalama wekeni macho yenu karibu. Hatutaki mambo ya UDA yatupate club kwongwe na yenye heshima kama simba.

Yangu macho.
Pesa za mshahara alizitoa, posho, zawadi, maradhi, safari nk msimu ulioisha zinazidi gharama hata ya hizo rasilimali unazoziongelea.

Hivi unafikili gharama za kuendesha timu kama simba kwa mwezi ni Shilingapi? Unafikili ni mchezo Jibu zuli watakupa omba omba fc.

Moo alitukuta tukiwa dhoofu lihali hatuwezi lipa hata nishahara ya wechazaji, pamoja na rasimali zetu izo unazoziongelea
 
Back
Top Bottom