KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 538
you are right bro.
Kibaha mjini
Segerea
Shinyanga mjini
karagwe
Kigoma mjini
Mbeya vijijini
Sumbawanga vijijini
Tarime
Kilombero
ulanga magharibi
Mbozi mashariki
hanang
Bukombe
Muleba
Nkasi
Ukonga
Majimbo haya usingekuwa uchakachuaji, yalishakuwa mikononi mwa chadema, na CCM walishapoteza udhibiti wa bunge theluthi mbili ya kupitisha maamuzi. Kwa ujanja wakahakikisha kuwa tukichanganya wapinzani wote tuishie below 60 seats.
imenisonosesha na kuumiza roho yangu.
Ipo siku hukumu ya watanzania itawashukia CCM na mafisadi wao.
Ee Mungu tunakuomba uwatie nguvu watanzania ili wajinasue katika minyororo ya CCM kabla ya mwaka 2015. Amen
Nilimaanisha BusandaMkuu Bukombe si wameshinda Chadema?
Kinachotakiwa ni kufungua kesi za pingamizi bila kuchelewa
Kilombero, data za karibuni zinaonesha Chadema wamechukua. Asante mkuu kwa upembuzi wako.Kibaha mjini
Segerea
Shinyanga mjini
karagwe
Kigoma mjini
Mbeya vijijini
Sumbawanga vijijini
Tarime
Kilombero
ulanga magharibi
Mbozi mashariki
hanang
Busanda
Muleba
Nkasi
Ukonga
Majimbo haya usingekuwa uchakachuaji, yalishakuwa mikononi mwa chadema, na CCM walishapoteza udhibiti wa bunge theluthi mbili ya kupitisha maamuzi. Kwa ujanja wakahakikisha kuwa tukichanganya wapinzani wote tuishie below 60 seats.
imenisonosesha na kuumiza roho yangu.
Ipo siku hukumu ya watanzania itawashukia CCM na mafisadi wao.
Ee Mungu tunakuomba uwatie nguvu watanzania ili wajinasue katika minyororo ya CCM kabla ya mwaka 2015. Amen
WOTE NDIVYO TULIVYO! nimetazama hilo neno kisha nikawatazama wao walichokisema, hapo ndipo unaporudi kwenye ile MWENYE MAPENZI HAONIIII..... ingawa MACHO ANAYOO!Mkuu Bukombe si wameshinda Chadema?
Kilombero, data za karibuni zinaonesha Chadema wamechukua. Asante mkuu kwa upembuzi wako.
Kwahiyo wanakilombero wanatakiwa waanzishe harambee ya kesi hii kumsaidia mbunge wao aliyebaniwa nafasi yauteuleHapana, hawakuchukua, Regia Mtema amepinga matokeo, anaenda mahakamani.