Elections 2010 Yaliyotokea kwenye majimbo haya yamenisikitisha sana

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
536
Kibaha mjini
Segerea
Shinyanga mjini
karagwe
Kigoma mjini
Mbeya vijijini
Sumbawanga vijijini
Tarime
Kilombero
ulanga magharibi
Mbozi mashariki
hanang
Busanda
Muleba
Nkasi
Ukonga

Majimbo haya usingekuwa uchakachuaji, yalishakuwa mikononi mwa chadema, na CCM walishapoteza udhibiti wa bunge theluthi mbili ya kupitisha maamuzi. Kwa ujanja wakahakikisha kuwa tukichanganya wapinzani wote tuishie below 60 seats.
imenisonosesha na kuumiza roho yangu.

Ipo siku hukumu ya watanzania itawashukia CCM na mafisadi wao.

Ee Mungu tunakuomba uwatie nguvu watanzania ili wajinasue katika minyororo ya CCM kabla ya mwaka 2015. Amen
 
Hayo majimbo mbona yatarudi Lissu namwaminia pamoja na Marando by next year hayo majimbo yako CHADEMA
 
Kibaha mjini
Segerea
Shinyanga mjini
karagwe
Kigoma mjini
Mbeya vijijini
Sumbawanga vijijini
Tarime
Kilombero
ulanga magharibi
Mbozi mashariki
hanang
Bukombe

Muleba
Nkasi
Ukonga

Majimbo haya usingekuwa uchakachuaji, yalishakuwa mikononi mwa chadema, na CCM walishapoteza udhibiti wa bunge theluthi mbili ya kupitisha maamuzi. Kwa ujanja wakahakikisha kuwa tukichanganya wapinzani wote tuishie below 60 seats.
imenisonosesha na kuumiza roho yangu.

Ipo siku hukumu ya watanzania itawashukia CCM na mafisadi wao.

Ee Mungu tunakuomba uwatie nguvu watanzania ili wajinasue katika minyororo ya CCM kabla ya mwaka 2015. Amen

Mkuu Bukombe si wameshinda Chadema?
 
Wazo la kufungua kesi ni zuri sana. kufungua kesi 16 katika majimbo hayo itatakiwa kuwa shs.5, 000,000 x majimbo 16 = shs.80,000,000
Hizi si pesa nyingi ukilinganisha na manufaa ya kushinda kesi hizo

Manufaa
  • Credibility ya chama itaongezeka na hivyo kujijenga kupitia ushindi wa kesi
  • Uwezekana wa kushinda uchaguzi mdogo unakuwa mkubwa
  • Kuongeza idadi ya viti bungeni
Njia za kupta shs.80,000,000
  • Tukifungua kesi mapema wakati wananchi bado wa machungu ya kudhulumiwa tunaweza kuchangisha wanachama kwa kila jimbo lillilopoteza na kuomba msaada majimbo mengine hii itafanyika kwa kufanya harambee kwenye mikutano ya hadhara na kutangaza mapato hapo hapo kama alivyokuwa anafanya Zitto
  • Kutumia baadhi ya mapato ya chama ili kulipia kesi hizo
Naamini tukishirikisha wanachama gharama hazitatushinda ili mradi tuwatumie wanasisa wa chadema wenye ushawishi mkubwa
 
Kweli mkuu tuvamie mahakama kama hatuna akili nzuri, hawa watu tusiwaache hivihivi watazoea. Maana tukiwashinda mahakani hata kwa nusu ya majimbo wataogopa na kuona haina maana kutumia ubabe.
Tiuge jirani zetu mahakama itatenda haki. Na wanasheria wetu waombe hizo kesi kama matter of urgency.
 
Kibaha mjini
Segerea
Shinyanga mjini
karagwe
Kigoma mjini
Mbeya vijijini
Sumbawanga vijijini
Tarime
Kilombero
ulanga magharibi
Mbozi mashariki
hanang
Busanda
Muleba
Nkasi
Ukonga

Majimbo haya usingekuwa uchakachuaji, yalishakuwa mikononi mwa chadema, na CCM walishapoteza udhibiti wa bunge theluthi mbili ya kupitisha maamuzi. Kwa ujanja wakahakikisha kuwa tukichanganya wapinzani wote tuishie below 60 seats.
imenisonosesha na kuumiza roho yangu.

Ipo siku hukumu ya watanzania itawashukia CCM na mafisadi wao.

Ee Mungu tunakuomba uwatie nguvu watanzania ili wajinasue katika minyororo ya CCM kabla ya mwaka 2015. Amen
Kilombero, data za karibuni zinaonesha Chadema wamechukua. Asante mkuu kwa upembuzi wako.
 
mkuu mbeya vijijini wamechakachua pia.........................masikini shitambala
 
Mkuu Bukombe si wameshinda Chadema?
WOTE NDIVYO TULIVYO! nimetazama hilo neno kisha nikawatazama wao walichokisema, hapo ndipo unaporudi kwenye ile MWENYE MAPENZI HAONIIII..... ingawa MACHO ANAYOO!

Inamaanisha kwamba: WAMESHAKUBALI KUSHINDWA HATA MECHI HAIJAFIKA NUSU:smile-big:
 
:director: piiii piiiii, tupulize vuvuzelaa, pi piii HAMUELEWANI, ninyi si wamoja. na ilisemwa wa mbili havai moja na kinyume chake. Sishangai kabisa kwa maana hamjui kipi mnakitaka na kipi hamkitaki. Fugueni fikra zenu, amkeni toka usingizini, HAKIKA PANAHITAJIKA MAPINDUZI YA KIFIKRA KWA WATANZANIA. LA SIVYO TUTANDELEA KUCHEZA NGOMA ISIYOJULIKANA:nono::sad:
 
Kibaha mjini
Segerea
Shinyanga mjini
karagwe
Kigoma mjini
Mbeya vijijini
Sumbawanga vijijini
Tarime
Kilombero
ulanga magharibi
Mbozi mashariki
hanang
Busanda
Muleba
Nkasi
Ukonga

Majimbo haya usingekuwa uchakachuaji, yalishakuwa mikononi mwa chadema, na CCM walishapoteza udhibiti wa bunge theluthi mbili ya kupitisha maamuzi. Kwa ujanja wakahakikisha kuwa tukichanganya wapinzani wote tuishie below 60 seats.
imenisonosesha na kuumiza roho yangu.

Ipo siku hukumu ya watanzania itawashukia CCM na mafisadi wao.

Ee Mungu tunakuomba uwatie nguvu watanzania ili wajinasue katika minyororo ya CCM kabla ya mwaka 2015. Amen

Hiyo ya kijani si alikua unnoposed? Au Tibaijuka alikua jimbo gani?
Alafu umesahau kutaja ubabe wa Kigamboni aise...:nono:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom