Yaliyonikuta kwa mke wa FFU

Yaliyonikuta kwa mke wa FFU

Poa but hujanipata kwenye épisode xifatazo mnatuchosha bure tu
 
Yani we ndio pimbi kabisa, yani unaitwa sehemu ambayo unajua kwa asilimia 86 unaenda kupiga mechi halafu eti unajisifia mlikula chips, hivi nyie watoto wa kiume mbona mnatudhalilisha sana sisi WANAUME
Chips😂😂😂😂😂
 
Inaendelea.....

Tulikaa sehemu wanapouza chipsi huku nikiwa sina amani kama mteule wa jiwe kwamba muda wowote unaweza kutumbuliwa.Nilimuuliza kwanini alipenda tuonane pale na sio sehemu nyingine mbali na mazingira ya nyumbani?

Jibu lake alilonipa lilinishangaza kiasi ya kwamba nilijiona mwenye bahati ya mtende kuota jangwani ila sio ile jangwani ya waliomtimua cedric caze .alijibu kwa upole yeye ni single maza wameachana na jamaa yake na sasa wana zaidi ya miaka miwili ila jamaa pesa ya matumizi anatoa kama kawaida .pia jamaa ana mke mwingine na anaendelea na maisha yake

Nilitamani kujua kwanini siku ya kwanza aliniambia ameolewa tena anaitwa mama fulani.alisema illikuwa mapema sana kuwa muwazi kwangu kwani alipenda afahamu nia yangu kwanza isije kuwa natest mitambo kama vijana wengine wa mtaani ..kwa sababu yeye ni single maza wanamchukulia kiwepesi kama maharage ya mbeya maji mara moja tayari kwa kuungwa..

Hapo hapo presha yangu ya kupanda na kushuka ikajiset level kisha nikatulia nikipiga hesabu za magazijuto kimya kimya mithili ya kobe anayetunga sheria.binasfi sio mpenzi wa chipsi niliamua kuagiza mishikaki miwili na ndizi mbili.mama fulani aliagiza kiepe kuku mkavu mkavu na balimi ndogo bariiiidii

Loh! Mtu mzima na nusu mimi niliona aibua inakuaje bi mdada anaagiza balimi tena ya baridi huku upande wangu nikiwa kinyonge na maji ya uhai nikisubiri ndizi na mishikaki ziive .akili za haraka haraka zikaniambia niagize k vant size ya kati ili nimchanganyie akikolea nijaribu bahati yangu siku ya leo

Nikaita mhudumu wa chipsi nikamuagiza aende kaunta afungue k vant size ya kati kisha aweke kwenye glass inayobakia aiache huko huko kaunta mpaka nikimaliza iliyopo kwenye glass ndio akaongeze tena.nilifanya vile ile watu wasielewe kinachoendelea kwa undani zaidi

Basi mama fulani akashangaa kumbe na wewe mnywaji mbona huonekani kama unakunywa nikamwambia nakumbushia zamani kwa ajili yake pia naomba kampani yake tumalize chupa yote ya k vant. Aliguna kidogo akauliza kwani leo una mpango gani na mimi baba yangu?

Chapu chapu nikajua mtoto kalilia wembe nimempa wembe umekata hivyo sina lawama .nikamjibu huku nikiwa na tabasamu kama namsalimia mama mkwe siku ya kwanza ukweni

.........itaendelea wakuu ngoja kidogo nimechoka kutype
 
Bora unamsaidia kumalizia chai yake
 
Nina uhakika hii story n fiction tu, na Mwisho wake n hautaumaliza....
 
Hakuna k.vant saizi ya kati.
 
wabongo tunapenda stor za kuchilana.yaani tuna madem wengi lakin ikija za jigi jigi unatamani usomeee adi usmamishe afu ukirud kwa manz wko inakuwa mshedede(inasimama nusu nusu?
 
Acha ujinga ww eleza kifupi tueleewe tuna mambo mengi ya kufanya
 
Umeshaanza vimbwanga mapema hivi.Tiririka haya mambo ya kuendelea yanatuchosha,mtoto anazaliwa mpaka anaanza kutembea story haijaisha
😂😂😂 Yan JF ninavyoipenda.. unakutana na vichwa conky sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom