Yaliyonikuta jana jioni


acha michepuko,ukimwi upo
a
 

si,kila mtu aniitaye bwana bwana atakaye ingia katika ufalme wa baba yangu,bali ni yule ayafanyaye mapenzi ya baba yangu:ndugu mtajisifu sana kwa kitendo icho lakini kitawaletea laana kubwa,1 mmemdharau mtumishi wa mungu: kwa kuongozwa na shetani mkakubali kumtumikia kwa kufanya zinaa, >>>> mtu aziniye na mwanamke hana hakili kabisa,afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake:[mithali 6:32] ndugu yangu bado unayo nafasi ya kutubu na kumwomba mungu akurehemu kwa jambo mlilofanya, usiifuraie dhambi ndugu yangu nimbaya wacha wacha dhambi,
 
SASA UMEPATA NINI KUFANYA DHAMBI HIYO YA UZINZI ILIHALI MKIJUA KUWA NYIE MKO KATIKA NDOA
SIMESHAWACHEAT WENZENU WA HOME BILA YA WAO KUJUA CHOCHOTE,
KWELI MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI HIVYO NGOJENI MAUTI YENU INAKARIBIA
MSIPOTUBU NA KUUNGAMA DHAMBI ZENU SHAURIENI MTANGAAMIA (Says Mama Parokko 1)
paroko @Eilyer kuja huku kuna kondoo wamepotea kabisa katika zizi lao
 
asante kwa kumpa neno naona yeye anafurahia hiyo dhambi aliyofanya mpaka anaamua kutuwekea bandiko laake chafu hapa haoni kuwa amefanya dhambi kuelelezea mavituz yote ya chumbani si ni kukosa adabu na anaona sifa sana hiyo dhambi aliyoifanya ni bora atubie dhambi zake mapema kabla ya mauti kumjia
 


Kifo cha Mende kikawa kimechika kasi! Mungu tunusuru kweli
 
Hinhinhiiiii.....inakua tena kwa kasi.. eti nyegeshi... sawa bhana.. Ila huu mlabulio wa akina Manuu nadhani ni extreme ngonoshi.. unamtoa ntu upakoni anaenda kumlabua hivyo!!! khaa sijui malaika wa zamu walipeleka ripoti gani.. shabash!!!!
Hah ha aaaa, kweli kiswahili kinakuwa kwa kasi, hasa kwenye KAMUSI NGONO.
 
Mh watu wanapenda unyevu! Vp mkuu ushapima lakini maana kwa story yako umepiga papuchi mbovu dry. Pole, michepuko ni noma thamini future yako na familia yako.
 
Hinhinhiiiii.....inakua tena kwa kasi.. eti nyegeshi... sawa bhana.. Ila huu mlabulio wa akina Manuu nadhani ni extreme ngonoshi.. unamtoa ntu upakoni anaenda kumlabua hivyo!!! khaa sijui malaika wa zamu walipeleka ripoti gani.. shabash!!!!

Najaribu kuwaza mchungaji wa watu anahubiriii kwa ustadi unamsikiliza kwa makini, ghafla ibilisi anaingilia kati anakuletea tunda umege, kitendo bila hofu huyoooo..... Baadaye mtu analeta simulizi with cofidence, na anawaathiri wengine kwa kuwapandisha hisia kali za kungonoka.....Kweli kazi ipo kweye hizi ndoa zetu.
 

tena siyo kazi nyepesi........

habari za masiku besti, mzima wewe?

naona umeamua kutupa mwanya tufurahi..........
 
Mkuu Tized ngoja nisubiri episode nyingine may be nitapata mafundisho humo ndani maana hii nimetoka kapa kabisa
may be ndoa yake imeshikiliwa na uzi ndo maana anaweza kufanya yote hayo au alioa mke wa majaribio bado hajampata ampendae
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…