Yaliyonikuta jana jioni

devil is a liar! I hate sijui ni him with all my heart! Tumpingeni kwa nguvu zote jamani.
Sui huyu mamaalifata nini mkutanoni

"Mungu alipo ndo na shetani anaweka kiti chake"
wote walifata neno ila ndo uso kwa uso wakakutana na shetani
 
kumbe natakiwa kutafuta mwanamke mpya ambaye hajawa na mtu bado coz hawa wenye ma X ni nouma sana eeeeh... hii natari tunapaswa kukemea na kumuomba mungu unapokuta Mkosaji anajisifu hadharani
Hii ni hatari, NDOA na iheshimiwe na watu wote...!!
 
Eti manuu, ulitaka tujifunze nini kwenye hii thread kaka?
 
Last edited by a moderator:

Kondomu mliumbuka???? Miaka 12 apart, mnakutana halafu na denda mnapeana!!!??? Mlipimana lini?? Hata niwe nimekutema mwezi mmoja ni lazima tupimane na ndomu inaendelea kuvaliwa kama kawa. Mtu pekee ambaye sitavaa ndomu ni mwenzi wangu tu japo wanandoa wanaongoza kwa HIV but acha tuleteane sisi kwa sisi na tukiupata sitahusika maana kamwe nje bila ndomu ni marufuku na huko hakuna deep kissing and romance!!!!! manuu umenipa changamoto sana katika kupiga vita ukimwi.
 

hahaa sidhani ka ndomu walikumbuka hapo..............
 

ten years...hujui undani wa maisha yake...kirahisi rahisi eti unakumbushia enzi...na story yako no mention of condom it is full ngono nzembe. Alikwambia kuwa hatumii ARV?

kweli elimu ya tz ni feki
 
Sasa kapimeni UKIMWI.

Hayo kwa nyinyi wala hatuoni ajabu ikiwa wachungaji wanabandua mpaka kondoo wachanga sasa nyinyi kondoo mliokubuhu tutegemee ni zaidi ya kuambukizana magonjwa ya zinaa?
 
ndio maana jana Maxence analalamika kwamba analipia servers 3 kila moja USD 1000 kwa mwezi kumbe wajaza servers wenyewe ndio nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…