Yaliyomtokea Kiongozi wa (UVCCM) Masauni ni Mtego uliokuwa unasubiriwa kufyatuliwa.

Kabla ya uchaguzi wa Umoja wa vijana kulizuka mvutano,wa makundi yanayotaka kuwepo kwa mtu wao hususan kutoka bara ,ndipo Rais akaleta mamuzi kiongozi apatikane kutoka zanzibar ili kutuliza hali ile na bila kuonekana kuwa Rais anapendelea kundi fulani ijapokuwa analo kundi lake ,sasa nitamnukuu masauni, juzi katika mahojiano kabla ya kujiuzulu aliuliwa jee ni kweli umebuni cheti cha kuzaliwa? akanena laa, nitabunije akauliza?akaendelea kusema kuwa vyombo vyote vya chama na serekali,vikiwemo vya Usalama wa taifa wameridhika na profile yangu ,na ndio nikapewa nafasi hii ,sasa tujiulize hivi ni kweli Usalama wa taifa walikuwa na maruwi ruwi kiasi hchi ?wachilia mbali hizo tasisi nyingine kama utazingatia kwa undani na kama ni kweli aliyosema masauni kuwa usalama wa Taifa wameridhia ya profile yake kwa maaana hiyo ilipangwa wampe huyu kijana uongozi wa muda mfupi na itafikapofika wakati fulani hii kashifa itolewe ,alazimishwe kujiuzulu na yule ambae anatokana na moja kati ya yale makundi yanyovutana ashike madara .

Nimepigia mstari kwa mshangao. Alikuwa anatafutwa kiongozi wa serikali au wa chama cha siasa?

Kumbe kweli tuna matumizi mabaya sana ya taasisi za serikali. Unatumia vyombo vya siasa na hata usalama wa Taifa kumtafuta kiongozi wa vijana wa CCM! Stupid country!
 
Kabla ya uchaguzi wa Umoja wa vijana kulizuka mvutano,wa makundi yanayotaka kuwepo kwa mtu wao hususan kutoka bara ,ndipo Rais akaleta mamuzi kiongozi apatikane kutoka zanzibar ili kutuliza hali ile na bila kuonekana kuwa Rais anapendelea kundi fulani ijapokuwa analo kundi lake ,sasa nitamnukuu masauni, juzi katika mahojiano kabla ya kujiuzulu aliuliwa jee ni kweli umebuni cheti cha kuzaliwa? akanena laa, nitabunije akauliza?akaendelea kusema kuwa vyombo vyote vya chama na serekali,vikiwemo vya Usalama wa taifa wameridhika na profile yangu ,na ndio nikapewa nafasi hii ,sasa tujiulize hivi ni kweli Usalama wa taifa walikuwa na maruwi ruwi kiasi hchi ?wachilia mbali hizo tasisi nyingine kama utazingatia kwa undani na kama ni kweli aliyosema masauni kuwa usalama wa Taifa wameridhia ya profile yake kwa maaana hiyo ilipangwa wampe huyu kijana uongozi wa muda mfupi na itafikapofika wakati fulani hii kashifa itolewe ,alazimishwe kujiuzulu na yule ambae anatokana na moja kati ya yale makundi yanyovutana ashike madara .

Hapa naona unapotosha watu makusudi! Huyu Masauni angeulizwa maswali ambayo ni DIRECT na sio haya aliyoulizwa "eti ulibuni cheti?" Sasa ulitegemea angejibu nini, yeye hakuandaa cheti isipokuwa alitaja umri ndio cheti kikaandaliwa! Kwa hiyo sio yeye "aliyebuni cheti"! Angeulizwa kuhusu tofauti kati ya mwaka wake wa kuzaliwa kwenye cheti cha kuzaliwa (1979) na kwenye hati ya kusafiria (1973), imetokana na nini hasa? Hii kusema kwamba eti vyombo vyote vya Serikali na Usalama wa Taifa waliridhika na Profile yake sijui inalenga kuelezea nini hasa, maana hivyo vyombo vya Serikali viliridhika baada ya kurubuniwa na Masauni. Vyombo hivyo hivyo kwa sasa vimeshabaini udanganyifu wa Masauni na ndio vimeanza kumrudi! Huyu Masauni atuambie alizaliwa mwaka 1973 au mwaka 1979? Atuambie which is which na sio blah blah! Kama anadai mambo yalipangwa aeleze yalipangwa vipi na nani alihusika kupanga? Alibambikiwa umri, kama alibambikiwa kwa nini aliukubali?
 
Huyu Masauni ni ana umri gani kwani, mbona naona hawa kina Shyroz Banji wako kwnye mstari wa mbele kwenye umoja wa vijana , je mbona huyu dada anaonekana kama ana miaka 40+ , inakuaje bado umoja wa vijana?
 
kwa mtazamowangu kashafa ya huyu masauni ni aibu kwa CCM maana inaonekana wazi kuwa kuna uzembe na uozo mkubwa miongoni mwa wanachama, waliwezaje kumpitisha mtu bila kufanya uchunguzi wa kina? katika hatua za kuelekea uchaguzi tulitarajia CCM itupe mambo mazuri, ya mtazamo wa kimaendeleo kwa miaka ijayo na si kuanza kutulietea kashafa za aibu aibu kama hivi
 
MASAUNI LEARNED FROM HIS FATHER AFTER 1995 ELECTION HE DOCTORED ELECTION RESULTS AND ANOUNCED CCM THE WINNER AS ZANZIBAR ELECTION COMMISION CHAIRMAN.

DAILY NEWS Reporter, 21st May 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 346

THE CCM Central Committee has welcomed the decision of UVCCM National Chairman Mr Yusuf Masauni to resign after it emerged that he had forged his date of birth and was therefore fraudulently elected.

"The CCM-CC has welcomed Yusuf Masauni's courage to step down after it was discovered that he had violated the rules of the party which required him to be 30 years old in order to be elected," said CCM General Secretary Mr Yusuf Makamba at a press conference in Dar es Salaam today.

Mr Masauni defied the rule that requires every member to always tell the truth.
After the party received information from Zanzibar claiming that Masauni had lied on his date of birth, an investigation was conducted to establish the truth.

"The results of the investigations showed that Mr Masauni had cheated and was elected to the post fraudulently," Mr Makamba said.

Mr Masauni had claimed to have been born in 1979 instead of 1973. For one to qualify as UVCCM national chairmanperson, they must be 30 years old or less.

Makamba said the first document that showed Masauni had cheated was his travel document showing that he was born in 1973, and attended Mtakuja Primary School from 1979 to 1986. He had joined Lumumba Secondary School from 1987 to 1990.

After completing secondary school education, Masauni joined Karume Technical College from 1990 to 1995. He then proceeded to Stanford College from 1996 to 1997 and from 1997 to 2000 he was awarded a bachelor's degree in Electrical Engineering. From 2002 to 2009, he was employed by the Ministry Energy and Minerals.

"He admitted to have used forged documents and has voluntarily written a letter of resignation," Mr Makamba
 
Hapa naona unapotosha watu makusudi! Huyu Masauni angeulizwa maswali ambayo ni DIRECT na sio haya aliyoulizwa "eti ulibuni cheti?" Sasa ulitegemea angejibu nini, yeye hakuandaa cheti isipokuwa alitaja umri ndio cheti kikaandaliwa! Kwa hiyo sio yeye "aliyebuni cheti"! Angeulizwa kuhusu tofauti kati ya mwaka wake wa kuzaliwa kwenye cheti cha kuzaliwa (1979) na kwenye hati ya kusafiria (1973), imetokana na nini hasa? Hii kusema kwamba eti vyombo vyote vya Serikali na Usalama wa Taifa waliridhika na Profile yake sijui inalenga kuelezea nini hasa, maana hivyo vyombo vya Serikali viliridhika baada ya kurubuniwa na Masauni. Vyombo hivyo hivyo kwa sasa vimeshabaini udanganyifu wa Masauni na ndio vimeanza kumrudi! Huyu Masauni atuambie alizaliwa mwaka 1973 au mwaka 1979? Atuambie which is which na sio blah blah! Kama anadai mambo yalipangwa aeleze yalipangwa vipi na nani alihusika kupanga? Alibambikiwa umri, kama alibambikiwa kwa nini aliukubali?
Masauni saga exposes CCM's vetting failure Written by The Citizen
ccm_ikulu_leo_web.jpg
Academics and politicians have questioned vetting procedures in Chama Cha Mapinduzi (CCM), saying the recent resignation of its two top youth wing leaders showed it has lost its ethics and direction.
CCM national chairman President Jakaya Kikwete chairs the party's Central Committee meeting at State House in Dar es Salaam yesterday.
They said the resignation early this week of the CCM youth wing (UVCCM) chairman, Mr Hamad Masauni Yusuf, who has been proved by authorities to lie about his age, reflected laxity in the ruling party's vetting and security system.

But the ruling party has defended itself, saying its procedures were foolproof and that was why Mr Masauni was detected.

Dr Azaveli Lwaitama, a senior lecturer with the University of Dar es Salaam, said what CCM was doing now was like scoring an own goal in a soccer match.

"Long ago this party ceased to be a party in power. This is a party where morality is not important," he said, accusing the party of lacking integrity and capacity to do the right things.

"How come the lie about Mr Masauni's age came to be known after quarrels within the party? Had there been no quarrels, the guy would have remained in power up to the end of his tenure," observed Dr Lwaitama.

He wondered that the party which had been in power since 1977 had failed to observe the personal integrity of its members when vetting them.
"CCM has its chairman who is the President of the country, and the vetting system is done through the party's Central Committee. We are not questioning about the boy (Mr Masauni), but the security system that allowed him to vie for the post while he was over age," he explained.

Dr Lwaitama claimed that CCM has lost its direction and touch with the people. Instead, he added, people were using the party as a bridge towards getting a parliamentary seat or acquiring handsome government tenders.

The chairman of the opposition party, Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema), Mr Freeman Mbowe, said the history of CCM showed that Mr Masauni was not the first victim of forgery.

"Forgery is part and parcel of CCM leaders," charged the Chadema leader. He claimed that a good number of Members of Parliament and ministers in the CCM government have been implicated in various forgery scandals, including submission of fake academic credentials.

Mr Mbowe suggested that CCM should also take stern measures against its leaders in both the party and the government who are not truthful.

A nominated legislator on the opposition Civic United Front (CUF) ticket, Mr Ismail Jussa Ladhu, said the resignation of the chairman of the party's youth wing reflected that "the party is really disintegrating.

"It is also a reflection that CCM has lost its long time reputation as an exemplary party. It has now lost its direction and vision."

Speaking on being contacted from the clove Island of Zanzibar, Mr Jussa queried:

"How come the party with its watertight security system failed to establish the age of Mr Masauni before he was elected into the high post?"

The CUF legislator reminded people that Mr Masauni's vetting was done through the party's supreme organs, including its Central Committee and National Executive Committee.

Mr Hamad Rashid, the leader of the official opposition in Parliament, said the incident has proved that CCM was not serious when it came to picking its leaders, a problem that he said was also reflected in the government.

He said what Mr Masauni did was a criminal offence, and demanded that legal action should be taken against him in addition to his resignation.

Reacting to these observations, the CCM publicity secretary, Capt (rtd) John Chiligati, said everyone was free to make his/her interpretation on the issue, but that was not correct.

"Every human being has weaknesses and we have taken necessary measures, including sacking him (Mr Masauni) from the post and the CCM national executive committee," said Capt. Chiligati.

Asked whether the party was intending to take legal action against Mr Masauni since forgery was a criminal offence, Capt. Chiligati quipped: "The measures we have taken against him are punitive enough."

Allegations about forgery of certificates among civil servants and CCM cadres have been common in recent times.

A number of cabinet ministers have been named in the list of people accused of forging their academic certificates, especially doctorate degrees.

A few years ago a Temeke MP on the CCM ticket, Mr Ali Ramadhani Kihiyo, was disqualified by a law court after it was established that he had forged his academic certificates.

The verdict was reached following a case filed by the then prominent lawyer, Dr Masumbuko Lamwai, who was representing the opposition NCCR-Mageuzi.

In the current parliament, police also established that Buchosa MP Samwel Chitalilo has lied about his academic qualifications.

However, the issue was not referred to court and Mr Chitalilo continues to serve as an MP.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom