Yaliyompata JF Kennedy yanaweza kumpata Obama?

Somi

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
3,609
4,361
KUTOKANA NA MAKALA FUPI NILIYOSOMA NAJIULIZA KAMA INAWEZA KUWA KWELI BAHATI MBAYA ILIYOMTOKEA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI J F KENNEDY INAWEZA KUMTOKEA PIA RAIS WA SASA WA MAREKANI OBAMA KAMA HATAKUWA MAKINI KATIKA MAAMUZI YAKE,PENGINE MUDA NDIYO UTAKUWA JAWABU SAHIHI
SOMA LINKI HII:
http://www.whatdoesitmean.com/index1331.htm
 
That's very dangerous....but I trust president Obama. I don't think he will listen to their so called "ultimatun". He will do what is right for the American people and the world as a whole.
 
Sorcha Faal? For real?

Are you serious?

I suppose you also believe Michael Jackson was killed by the CIA ?
 
That's very dangerous....but I trust president Obama. I don't think he will listen to their so called "ultimatun". He will do what is right for the American people and the world as a whole.

tatizo hapo nikuwa CIA wanacontrol usalama wa marekani na wakati mungine wanajipenyeza mpaka kwenye usalama wa rais wa marekani na wao ndio wanatekeleza mambo nyeti ya serikali ya marekani mfano kuuwa magaidi afghanistan, iraq, kusimamia rasilimali za marekani,kuiba technology toka nchi nyingine nk.
CIA ipo kila mahali, sasa wakati mungine wanampa mapendekezo raisi wanataka yaidhinishwe bila kupingwa sasa hapo raisi akionyesha kukataa ndio chamoto kinaweza kumwakia
 

Kwa Maelezo yako basi anayeongoza Nchi ya Amerika basi atakuwa CIA Sio Rais Obama?
 
everything is possible

If everything is possible, then impossible is possible.

If impossible is possible, then everything is not possible.

Your construct raises a fallacy.
 

Hmmm!!! Kwa hiyo unataka kutuambia hao CIA (ambao hawaruhusiwi kuoperate ndani ya Marekani) wana nguvu sana?
 
everything is possible




If everything is possible, then impossible is possible.

If impossible is possible, then everything is not possible.

Your construct raises a fallacy.

Hiyo itakuwa paradox siyo fallacy, why?
If every thing is possible then impossible is possible because everything is possible.
Lakini kwa mtazamo wangu mtu akisema everyting is impossible maana yake everything is a failure kitu amabcho mi binafsi siamini.
 
Nani kakuambia CIA don't operate in USA???

Legislative charter yao, na kutoka kwenye National Security Act ya 1947 na 1949.

Vile vile Executive Order 12333 imeelezea vizuri ilikuoperate ndani ya US basi wanatakiwa wapate ruhusa ya Attorney General na washirikiane na FBI.
 
If everything is possible, then impossible is possible.

If impossible is possible, then everything is not possible.

Your construct raises a fallacy.

lol!....mkuu, wengi wetu ni ma-conspiracy theorists
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…