Yaliyompata Edward Lowassa yatampata Paul Makonda?

Yaliyompata Edward Lowassa yatampata Paul Makonda?

Hivi wewe ni msemakweli au msema hisia???
1. Hivi unahisi kila anayeandika hapa vyeti tu au tunataka vyeti ametumwa na kikundi ndani ya CCM au nje ya CCm?
2. Hivi unahisi mtu akihoji kwanini magari ya watuhumiwa wa drug dealers ambao yeye mwenyewe kawataja huu ni wivu, au makundi au ametumwa na drug dealers?
Watanzania tuache wendawazimu! the best way to solve this issue ni kusema Yes or No rather than kupotezeana muda sijui makundi, wivu !
Nadhani umeandika hoja yako kwa mihemko baada ya kusoma hoja zangu bila kuzielewa vizuri.
 
Naona Spika amemkingia kifua Paul Makonda na kwa maana hii hakuna tume ya bunge itakayochunguza kazi za TISS.
 
Ukaribu wa PM na Raisi ni obvious lakini ukaribu wa RC na Raisi mhhh!

Ya Lugumi tume iliundwa na kutoa majibu(I stand to be corrected)

Kuna utekaji, uvamiaji, utesaji ...? Kama upo kuna haja gani ya kuzunguka? Una uthibitisho wa ufisadi wa Lowasa? Anaogopwa? Mbona mahakama ya mafisadi imeundwa na hashitakiwi? Au upelelezi haujakamilila?
Hilo 'sule' hawezi jibu, Sana sana ataparamia swali na kutokea upande Wa pili.
 
Ukiona mchumia tumbo kama huyu Msemaji ukweli analialia hapa basi ujue Mwisho wa Msukuma mwenzie Bashite umefika , huyu ni mmoja wa wapambe wa Dr Magufuli , kishapata taarifa kwamba kwenye ibada ya pasaka Bashite atapangiwa kazi nyingine .
Usisahau alikuwa ni MwanaDiwani kabla. He was created na Professor, kabakia mle, bosi wake juzi ametimuliwa, hajielewi. A typical ideologue feeding off the economy of affection.
 
Kaka nimekupata vizuri sana.......Magufuli analijua hilo na kumtoa Makonda jua kwamba ni mwanzo wa kuferi kwa utawala wa Magufuli na Mapambano dhidi ya Madawa ya kulevya....MAGUFULI ANATAKIWA AWE MAKINI SANA.
 
Kaka nimekupata vizuri sana.......Magufuli analijua hilo na kumtoa Makonda jua kwamba ni mwanzo wa kuferi kwa utawala wa Magufuli na Mapambano dhidi ya Madawa ya kulevya....MAGUFULI ANATAKIWA AWE MAKINI SANA.

Hueleweki aisee
 
Back
Top Bottom