Yaliyompata Edward Lowassa yatampata Paul Makonda?

Yaliyompata Edward Lowassa yatampata Paul Makonda?

Kweli aisee hivi suala la lugumi liliishia wapi??
 
Kwani uongo makonda sio bashite?!kwan ni uongo bashite hakuvamia studio za clouds kisa kipindi cha udaku?!kwani ni uongo makonda hatumii magari ya aliowatuhumu ni wauza madawa ya kulevya?!
 
Kwani uongo makonda sio bashite?!kwan ni uongo bashite hakuvamia studio za clouds kisa kipindi cha udaku?!kwani ni uongo makonda hatumii magari ya aliowatuhumu ni wauza madawa ya kulevya?!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi wewe utamlinganishaje lowasa na bashite?

Hivi bashite ana nguvu gani ccm?

Ameifanyia nini ccm huyu?
Ukiona mchumia tumbo kama huyu Msemaji ukweli analialia hapa basi ujue Mwisho wa Msukuma mwenzie Bashite umefika , huyu ni mmoja wa wapambe wa Dr Magufuli , kishapata taarifa kwamba kwenye ibada ya pasaka Bashite atapangiwa kazi nyingine .
 
Mkuu
Mara nyingi huwa ninapingana na wewe kiitikadi, lakini uliloliandika liko sahihi sana kwa mtazamo wangu pia.

JPM anatakiwa kuzichanga vizuri karata zake, Yawezakuwa Paul utendaji kazi wake wa kazi unamfurahisha mkuu kama ilivyokuwa kwa Edo na Jk - between the lines 'mapungufu' yake yatazidi kuleta mpasuko mkubwa CCM na UKAWA inazidi kugain ground.

Watampiga kwelikweli kupitia kwa Paul, asipowapa ushindi mapema hio - atakuja kukumbuka 2020. Nothin is fair in Love and war! By the way, Jk aliung'amua mchezo mapema.

Am out!

Mkuu,

Nadhani maswali yangu ya hitimisho umeyajibu kwa kiwango kikubwa.

Ninashukuru kwa mchango wako.
 
Kwani uongo makonda sio bashite?!kwan ni uongo bashite hakuvamia studio za clouds kisa kipindi cha udaku?!kwani ni uongo makonda hatumii magari ya aliowatuhumu ni wauza madawa ya kulevya?!
Kwani ni uongo wewe ni kasuku!
 
Hoja yako nimeielewa ila kumfananisha Lowassa na mambo ya kipuuzi kama bashite ni technical mistake kwa sababu Lowassa ni Tungsten wakati makonda ni Talc from geological point of view in simple words Lowassa ni heavy weight na bashite feather weght
 
Mkuu nimekupata sana na kwakweli sina lakusema kwa sasa kwani bandiko lako linahitaji muda wakuifanyia kazi akili yangu. Ila hongera sana kwa ufafanuzi wako Mkuu.
Hongera na wewe kwa kutoa hongera
 
Nadhani umesoma andiko langu lakini hukuelewa msingi wa hoja yangu.
mkuu hata alieishia darasa lanne akisoma anaelewa mantiki ya hoja yako hongera kwa kubalance ambae hajaelewa ataelewa ck akitaka
 
Full upupuna upumbavu, nachelea kuhisi aliyenadika ndiye Bashite Mwenyewe. Lowasaa ana Legacy nchi hii, Legacy alisimamia operation zitakazokumbukwa vizazi na vizazi. Lowassa hakuwa na akili ya kuvamia kama ya wewe Bashite, Lowassa hakufoji vyeti. Kimsingi hakuna nguvu yoyote ya Makonda popote pale zaidi ya ukabila na ukiburi wa mkuu wetu. Makonda anaiabisha sana Serikali ya Magufuli, na siku atakayokuja kujua hili itakuwa too late. Kuna watu walikuwa ccm wakiiamini kupita kiasi lakini huwezi amini tukio la Makonda limefanya wanyooshe mikono. To hell bashite.
 
Mleta hoja wala usipate tabu...umeshawagusa na ujumbe umewapenya ndo maana unaona wanawayawaya.

Maneno mjarabu kabisa..

Wanayawaya...wasingizia TISS hawajui mkuu wa nchi ndo anaijua TISS Kulilo wao..imekula kwao mapeeeema.
 
Back
Top Bottom