Yaliyomkuta rafiki yangu.

Yaliyomkuta rafiki yangu.

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
950
Reaction score
1,050
#Majanga

Jamaa angu mtu wa ruti kila kukicha anafanya kampuni zenye feza kwa wingi, kaenda Dar sinza hiyo kachukua bonge la hotel, homonies za jamaa zikapanda usiku jamaa akataka kiburudisho. Ee bana toka huku na kule hakuna deal, jaribu huku na kule hakuna deal mida zikaenda sana kwenye saa sita usiku jamaa akaona bonge la demu limesimama barabarani, jamaa akatoka speed ile anafika tu hivi tax ikachukua mrembo duh jamaa kikamuuma ile mbaya. akasimama hapohapo tena, muda kama wa dakika 2 mrembo akarudi tena, jamaa akajaribu kumpiga mkono kwa mbai ili mrembo asogee mrembo akwa anaona kama haoni.
jamaa akaamua kumfuata ili aischukuliwe na wengine wallah! jogoo tayari likiwa limejiaminisha kuwa limepata pakuwikia hata kwa milioni ngapi, hahahahahaha eebana kumsogelea mtoto hivi usoni kumtazama duh hahahahahahaha.

demu uso ni mbaya jicho halipo moja ni shimo tu nalingine ni kama la kondoo na inawezekana alikuwa haoni mbali duh, ikabidi jamaa anyamaze bila kupenda halafu pia jogoo alishuka mithiri ya ugonjwa hahahah, jamaa alinyamaza na kuondoka akshindwa, demu akatupia kaka mambo? jamaa kimya, demu akarudia tena kaka mambo? jamaa kimya akarudi reverse hahahaha mbio alizotimua ni balaaa hahahahah kitandani moja kwa moja.

Mkome kununua
#Majanga
 
If only thîs is a true story....mbona una marafiki wenye majanga ivo?show me ur friend.....!malizia mwenyewe
 
Wakati rafiki yako akifanya hayo yote wewe ulikuwa wapi mpaka ukayaona yote?

Mtu yamekukuta mwenyewe unakuja kumsingizia rafiki yako.
 
pole kwa maswahibu, sema yamekukuta, sio rafiki yako....
 
Yan we kila cku majanga! Haijanivutia kiviile!
 
kwani alikua anafuata macho.. yeye ilibidi aconcetrate na bambucha tu
 
wakati rafiki yako akifanya hayo yote wewe ulikuwa wapi mpaka ukayaona yote?

Mtu yamekukuta mwenyewe unakuja kumsingizia rafiki yako.

hahahaha! Haya mambo yakusingiziana hapa jf yamekua mengi hadi kero!! Kila uzi utaskia rafiki yangu.....lol!!
 
dah kuna siku nimekatiza meeda pale nikakuta dadaz poa wamejipanga pembeni ya barabara waliponiona eti wananiita mchumbaa, psiii mchumba dah nikahisi ukisikia mwanaume kabakwa ndo leo
 
Wakati rafiki yako akifanya hayo yote wewe ulikuwa wapi mpaka ukayaona yote?

Mtu yamekukuta mwenyewe unakuja kumsingizia rafiki yako.

mimi nimesema rafiki yangu wewe unanilazimisha mimi huu si ndo unaitwaga ukengeufu??
 
Back
Top Bottom