Yaliyojiri wiki ya uzinduzi wa kuboresha usalama wa raia viwanja vya Biafra, Rais Magufuli azungumza

Namsubiri kumsikia Rais Magufuli kama atafafanua kuhusu zuio la shughuli za kisiasa kwa miaka mitano na mahafali
Sidhani Kama Magufuli analijua vizuri jeshi la polisi. Hao vijana wapolisi anawasema ndio vibaka. Kunapo kuwa na maandamano aidha ya wanafunzi au wanasiasa, Vijana hao ndio wanaowanao waibia simu waandamani. Leo hii anasema wanafanyakazi nzuri??
 
Kama hawatawaamisha polisi waliozoeleka kinondoni, hakuna jipya, kino ndio wanawajua wauza poda, majambazi sugu ndio wamejenga mahotel kibao, wapigaji ndio wajenga mbezi beach na kunduch
 
Tayari kapuyanga....
"....Polisi, wawanyang'anye silaha majambazi haraka haraka, na nikisema haraka haraka mnanielewa,... na huyu askari polisi anayemnyang'anya jambazi silaha haraka haraka, asipelekwe mahakamani, apandishwe Cheo..."
Maana yake Majambazi wauwawe!!
 
RAIS JOHN POMBE MAGUFULI APATWA NA BUTWAA VIWANJA VYA BIAFRA

Ni mara tu baada ya kumtaka mastahiki Mayor wa Kinondoni Mh Boniface Jacob
Kutoa salamu zake kwenye uzinduzi wa mpango wa usalama wa jamii katika viwanja vya Biafra.

Mh Rais ameshitushwa sana na kutokuwepo kwake mstahiki mayor ikamlazimu kuulizia kama yupo diwan wa eneo husika akajitokeza kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, alidai kuwa ni diwan wa chadema japo alijitambulisha kwa hofu kidogo.

Na baadaye Ndugu Dovutwa, akatoa salamu zake.
Serikali ijisahihishe
 
Hivi wamejenga magereza au ni haya haya ambayo tayari yameelemewa maana hapa watakamata robo tatu ya watanzania.
 
Moja ya taasisi inayohitaji reform kubwa ni hii ya Jeshi la polisi, kuna haja sasa ya kulifanyia mabadiriko makubwa hili Jeshi letu..
 
Tayari kapuyanga....
"....Polisi, wawanyang'anye silaha majambazi haraka haraka, na nikisema haraka haraka mnanielewa,... na huyu askari polisi anayemnyang'anya jambazi silaha haraka haraka, asipelekwe mahakamani, apandishwe Cheo..."
ahahaha,kwaio ni kama amewapa kiki!ni kama ile ya polisi kuruhusiwa kuya chomoa matairi ya madereva wanao yagonga magari ya dart!
 
Mh Rais ameshitushwa sana na kutokuwepo kwake mstahiki mayor ikamlazimu kuulizia kama yupo diwan wa eneo husika akajitokeza kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, alidai kuwa ni diwan wa chadema japo alijitambulisha kwa hofu kidogo.

Kulivyo na vibaka kinondoni huyo meya asiposhirikiana na serikali watakuja mkaba mchana jua linawaka hatakuwa na kituo cha polisi cha kukimbilia wala sehemu ya serikali ya kukimbilia.Au hajui kuwa waanzilishi wa Panya road ni vibaka wa hapo kinondoni?

Anajitia kususa sio.Polisi wakimsusa pia atakuwa mgeni wa nani?
CHADEMA bifu na polisi hamtafika mbali jitahidi kuwapa ushirikiano na kuwa karibu nao.Kutangaza bifu na vyombo vya ulinzi na usalama sio afya kwenu.

Hongera kwa huyo diwani anajitambua .Ni aibu watu wa kinondoni wanaenda halafu meya haendi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…