mbez beach kwa zena.
Basi nilidhani iko kigamboni
mbez beach kwa zena.
🤣🤣🤣🤣Watu wengi wanaobeti haya huwa ni mawazo yao. Yakiwakaa sana akilini huwa wanayatoa kama stori zilizowakumba/kuzifanya.
Sijasema wewi lakini, japo unaweza kuwa wewe.
😂😂😂mkuu nmecheka sanaaWatu wengi wanaobeti haya huwa ni mawazo yao. Yakiwakaa sana akilini huwa wanayatoa kama stori zilizowakumba/kuzifanya.
Sijasema wewi lakini, japo unaweza kuwa wewe.
AndaziKwaiyo tufanye nini
Asante kwa Masada wakonmkuu. Mungu akubariki.