Yaliyojiri Weekend ya jana Kidimbwi

kibovu

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
661
686
Habari wadau,

Ukiambiwa mjini starehe gharama usikodoe macho.

Kama ilivoada jana nilitoka out peke yangu nikaenda kidimbwi kumalizia weekend.Nilitoka kwangu mida ya saaa tatu usiku nikafika nikakaa maeneo ya kaunta nilimkuta mshikaji mmoja na madem wawili wanakula kilaji.Mwamba alikunywa safari madem wote walikunywa savana.

Niliagiza moet nikaanza kula taratibu wale alafu sina habari na dem .Jirani yangu aliwaagizia wale madem savana 5 kila mmoja nikaona akatoa waleti kwa mbali mchuzi umeelekea mwisho nikajisemea kwa hawa madem ninavowaona hafiki nao mbali.

Wadau kufika muda wa saa saba usiku madem wanataka waongezwe pombeee jamaaa hana pesa anataka waondoke madem wakagoma ondoka mwenyewe kikukweli vilikuwa ni visu vya hatari rangi ya mtume.

Mimi nikasimama nikanza kucheza cheza sina habari mtoto mmoja akaniletea kiuno wadau nikakipasa na akanisusia trakooo loteee wote mmoja wapo kati ya yule aliekuwa dem wa mshikaji.Nikamuita muhudumu wape savana 10 wakuuuu wote wawili walihamia kwangu mshikaji alipata hasira akasepa.

Wamenikatikia nikasema mida ya saa 10 msinitie nyege tuondokeni .Tukaingia kwenye gari hadi Hotel nimewala wote tena show ya kibabe,nimewaachia 150 wagawane.

Wameshukuru kichizi kumbe ni watoto wa chuo mshikaji aliewatoa ni mwanachuo mwenzao wakaniambia huwa akibeti akishinda ndo anawatoa out wakaniambia sisi ni friends tuko second yr ukituhitaji mda wowote tuwasiliane nikawambia wasijar.
 
Napita tu
Screenshot_20220314-165338.jpg
Screenshot_20220314-165132.jpg
 
Back
Top Bottom