Yaliyojiri uwanja wa NMC - Arusha

ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!
duh we mtu una roho mbaya sana, na una roho mbaya kama mafisadi ya ccm, kwani yanafurahia watu wanapoangaika ata kuua, wewe una msukumo wa roho mbaya ya ccm magamba. Watu pia viongozi wa ccm magamba hapo wanawaza jinsi posho ztakavyotoka zaidi ya umuhimu wa shughuli yenyewe ya kuwakumbuka marehemu,tunawashukuru viongozi wetu kwa kuitikia wito uhu wa maadhimisho aya na ni muhimu viongozi wetu watupe pia machache juu ya dhuluma na maovu kwatanzania wanayoendelea kufanywa na mafisadi ya ccm, pia mchakato wa katiba
 
tupeni news nini kilichojiri hadi sasa hivi.
 
Eti kuondoa umasikini, unataka CDM wakawahimizie wapi habari maelezo?
 

masaburi on duty
 
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!

Kwahiyo hata kumuenzi baba wa taifa Julius Nyerere kila mwaka haina maana? Nahisi unaumwa na haja kubwa!
 
Si hayo tu, tunataka kujua suala la UDA limeishia wapi? Na ile sinema ya Kichina ya Kujivua gamba nayo haina mwisho? Ndio maana yule jamaa alituambia kwamba hawa Watu wanafikiri kwa kutumia "Makanyagio" hatukumwelewa. Ukweli ni kwamba jambo linalopitia sehemu hiyo wanayotumia kufikiri huwa ni la muda mfupi na la kupita tu.
 

Hivi mie nikiamua kufanya kumbukumbu ya mbwa wangu aliyemezwa na chatu wakati tukiwinda we unawashwa na nini huko chini?? Muda wangu hata nikupoteza we unakuhusu nini? we tumia muda wako kukuna huko chini unakowashwa niachie mie muda wangu niupoteze kwa kuwakumbuka mashujaa wangu waliouliwa na anayekupa makombo!! dwag we!
 
Mkuu tusaidie na picha ukipata kaupenyo kaku-upload. Viva makamanda.
 
Hivi hii ni habari au ni shairi? Copy n paste mbaya sana!
 

Hapo kwenye red na kisha signature yako (kwenye bluu) halafu unganisha na avatar yako utapata jibu nani malaya na nani mpenda sifa
 
mlioko jikoni tujuzeni kinachojiri tunawashwa huku wenzenu
 
Chama cha fujo tanzania. Chama chenye ajenda ya ufisadi tu tanzania. Chama cha wachaga. Mkishaenzi then what?
 
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!

Akili zilizochanaganyika na haja kubwa utazijua tu, halafu kumbe avatar zinazungumza.
 
Chama cha fujo tanzania. Chama chenye ajenda ya ufisadi tu tanzania. Chama cha wachaga. Mkishaenzi then what?

si aheri hiki chama cha wachaga kuliko chama cha wazaramo na mafisadi
 
Kwani wao wanawalazimisha watu kuhudhuria mikutano yao? au umeona wanapeleka magari ya kuwabeba, kuwalipa sh. 10000/= na kuwavalisha t-shirts, kofia pamoja na kanga? Kwani umeona wanapiga muziki kutoka vijana wa ubongo wa fleva na wanaohudhuria wakawa watoto peke yao? au ameona watu wanakwenda wao wenyewe kwa hiari yao? tena kwa kujigharamia. Hivi unaelewa maana ya PEOPLES POWER?, Tafakari kisha chukua hatua.
 
Wanafanya vizuri sana ,watumie wakati huu wakuwakumbuka wapiganaji wengine waliokufa wakikataa dhuluma,wale wa mbeya ,Igunga,Meatu,Geita
Watatuambie jinsi tutakavyoshirikiana kuhakikisha CCM na serikali yake hawaendlei kuipeleka nchi mtoni kwenye maporomoko ,tunataka kauli moja tuu lini tutawasimamisha CCM na serikali yake kudhulumu wananchi
 
mapa sasa hakuna picha? nadhani unatudanganya wewe
 
hiki chama kwa nini kinapuuzia wananchi waliiiomba kuanzishwe tv/redio?wanamuogopa nani?hawana pesa?
 
mmmhhh bongo job true true.. hivi mbona PJ hayupo aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…