Yaliyojiri Uwanja wa Kambarage: Mkutano wa Dr. Magufuli Jimbo la Shinyanga Mjini - 26 Septemba, 2015

kweli ukiwa ccm ni lazima fuse mbili au tatu za ubongo wako ziwe zimekatika, kweli mijitu ina familia zao inakubali kusombwa kwenye malori as if ng'ombe waendao mnadani
 
Umati uliojitokeza haijawah tokea ndani ya shy town afunika kila kona ya mji wa shy town wazee kwa vijana huku akishangiliwa na umati mkubwa mnoo ambao ulikwa unaimba magufuli,,magufuli,magufuli hana mpinzani tunakwenda kumpa nchi kwa kura za ndiyo za shy town na viunga vyake,, ccm ushindi ni asubuh saa moja
Pole sana,
Sijui unaongelea Shinyanga ipi, kama ni hii alisema Gaki Msaliti wakati ndiyo kamfadhili 100% sikushangai bwana mdogo
 
Umati uliojitokeza haijawah tokea ndani ya shy town afunika kila kona ya mji wa shy town wazee kwa vijana huku akishangiliwa na umati mkubwa mnoo ambao ulikwa unaimba magufuli,,magufuli,magufuli hana mpinzani tunakwenda kumpa nchi kwa kura za ndiyo za shy town na viunga vyake,, ccm ushindi ni asubuh saa moja

Huu ujinga sasa na ushabiki wa kipuuzi ww uko Tunduru, unaona kupitia Tv unaripoti utadhani ulikuwepo
 
Sitta anasema mradi wa maji kutoka ziwa Victoria ulitekelezwa na Mkapa na si Lowasa pekee...pia Mwandosya alihusika.

Na mradi wa Richmond amesema nani aliutekeleza na ni akina nani wengine walihusika?
 
Lowasa aliondoka serikalini miaka 8 iliyopita. Sumaye aliondika serikalini miaka 10 iliyopita. Sasa tujiulize maswali yafuatayo-
Hivi kweli kwa takribani miaka nane hakuna ufisadi uliotokea? Zaidi ya richmond? Mbona majukwaa ya kampeni za ccm hawayataji hayo?
CCM ime divert na kuwaduwaza watanzania na kusahau ESCROW, TOKOMEZA, Mabehewa ya train mabovu , rada etc, wanachozungumza ni Lowasa na richmond tuu. Ama kweli nimeamini watanzania ni NYUMBU

Kwa hiyo jibu la ufisadi ni kuwachagua mafisadi Lowassa na Sumaye kwa sababu wameondoka serikali miaka kadhaa iliyopita? Once a thief, always a thief! Lowassa ALIKATWA mwaka 1995, kwa sababu hizi hizi za maadili! Je, aliacha? Hivi tangu 1995 Lowassa hajafanya ufisadi mwingine wowote?
 
Si magufuli huyu huyu akiomba kura kwenye kamati kuu alisema atafanya kazi na waliokatwa wote pamoja na lowasa?kwanza mgombea mwenza alimtaja kwa jiba nitafanya kazi na lowasa sasa hakumbuki kwamba wale walio imba wimbi wa lowasa bado wako ccm na mchana ni ccm usiku ni lowasa?hahahahahahaha hii inachekesha sana magufuli jua kwamba watakao iua ccm bado wakk ndani ya ccm hawajatoka na hawatoki wako ndani tu
 
Acha uzushi, uliisikia wapi sauti ya mgombea mwenza ikisema hayo????
Na mwaka huu mtaisoma namba
 
Operation delete ukawa; kanda ya ziwa.

Nyumbani kwa mgeja ............... Mpiga dili .
nyie ccm kila jambo ni kuiga tu, sijui huo ushindi mnaoutafuta mtawaongozaje watanzania, ndiyo maana taifa hili pamoja na rasilimali zake zote na baada ya miaka 50 ya uhuru bado wananchi wake ni malofa kama tulivyo ambiwa na mwenyekiti wenu mstaafu wa chama nzee nkapa
 
Hatuwezi kuwa taifa la watu dhaifu kama lowasa, Magufuli kaonyesha mfano mwema sasa kama. Ukawa hamjatambua hy ni juu yenu
 
binafsi mh Magufuli hapa umekosea kutaja jina la mfanyabiara wa shinyanga bwana JASPA ni aibu kubwa kuwa mchana anakuunga mkono na usiku yupo ukawa. this is not fair.

Magufuli najua unaingia mitandaoni hapo umeonyesha hujiamini km unavodai kwanini unawatia Mashaka wafuasi wako.
sio maramoja umesema katika mikutano tofauti msijekunisaliti.

this is vey damaging plz take this advice, vitu vingine Fanya indoor

Mkuu kuhusu hiyo kauli ya Magufuli nakuhakikishia hawalengi wananchi ila ni watu walioko ndani ya Team yake ya Kampeni kwani hapo Shy ameamua kumtoa tu kafara huyo jamaa.
Fikiria ni mara ya ngapi anatamka kauli hiyo? Kwanini sehemu zingine alizotoa hiyo kauli hakuna mtu aliemtaja?
CCM kuna mpasuko mkubwa sana japo wanajitahidi kuficha mambo yasijulikane hadharani ila kwa kauli zake hizo anathibitisha wazi kua hawaelewani wao kwa wao hivyo jamani kila mmoja anaelewa Vita vya Panzi.................
 
Lowasa aliondoka serikalini miaka 8 iliyopita. Sumaye aliondika serikalini miaka 10 iliyopita. Sasa tujiulize maswali yafuatayo-
Hivi kweli kwa takribani miaka nane hakuna ufisadi uliotokea? Zaidi ya richmond? Mbona majukwaa ya kampeni za ccm hawayataji hayo?
CCM ime divert na kuwaduwaza watanzania na kusahau ESCROW, TOKOMEZA, Mabehewa ya train mabovu , rada etc, wanachozungumza ni Lowasa na richmond tuu. Ama kweli nimeamini watanzania ni NYUMBU

Wanapiga kelele na Richmond wakati bado wanayo wameikumbatia mpaka sasa miaka nane baada ya lowassa kuondoka ..wameibadili jina wakaiita dowans wakaendelea kupiga dili, wakageuza jina tena sasa wanaiita symbion na wanaendelea kupiga dili kama kawa
Mitambo ya Richmond ndio hiyohiyo ya dowans ndio hiyohiyo ya symbion...shame!!! Ndio maana Lisu alimpomtaja mwenye Richmond hata kubisha wameshindwa.
 
Mkuu kuhusu hiyo kauli ya Magufuli nakuhakikishia hawalengi wananchi ila ni watu walioko ndani ya Team yake ya Kampeni kwani hapo Shy ameamua kumtoa tu kafara huyo jamaa.
Fikiria ni mara ya ngapi anatamka kauli hiyo? Kwanini sehemu zingine alizotoa hiyo kauli hakuna mtu aliemtaja?
CCM kuna mpasuko mkubwa sana japo wanajitahidi kuficha mambo yasijulikane hadharani ila kwa kauli zake hizo anathibitisha wazi kua hawaelewani wao kwa wao hivyo jamani kila mmoja anaelewa Vita vya Panzi.................

magufuli mpaka mwenyekiti wake jk haelewani nae...Jk amekasirika sana magufuli kuitukana serikali yake haijafanya chochote
 
Wanapiga kelele na Richmond wakati bado wanayo wameikumbatia mpaka sasa miaka nane baada ya lowassa kuondoka ..wameibadili jina wakaiita dowans wakaendelea kupiga dili, wakageuza jina tena sasa wanaiita symbion na wanaendelea kupiga dili kama kawa
Mitambo ya Richmond ndio hiyohiyo ya dowans ndio hiyohiyo ya symbion...shame!!! Ndio maana Lisu alimpomtaja mwenye Richmond hata kubisha wameshindwa.
Ufafanuzi wa hilo muulize alieandaliwa na USA kuratibu nishati na madini kwa manufaa yao. Rostam plus EL watakujibu na utaelewa why Symbian american co. took over from Rm to Dwns then them.
 
Hakuna ubishi wala nini, picha zinajieleza vizuri sana kuwa Watanzania sasa wanakiri kwa kidomo yao kuwa, Mh John Pombe Magufuli ndie kiboko ya Mafisadi wa Tanzania. UKAWA sasa wamekwisha habari yao baada ya kumkumbatia Fisadi na kukaa mbali na hili neno "fisadi". Mwisho wao ni tarehe 25 October.

Posted by Mr Chin
 
Dr John Pombe Magufuli amezidi kuwa mwiba wa upinzani Shinyanga mjini baada ya kuzidi kuisambaratisha upinzani, Maelfu ya wanainchi wamezidi kujitokeza katika kuhakikisha wanapata ujumbe kutoka kwa wa rais mtarajiwa.Dr Magufuli amezidi kusisitiza kuwa serikali yake itakuwa karibu na sekta binafsi.

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Shinyanga mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Kambarage ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa wakati umefika wa kujenga Tanzania mpya yenye viwanda vya kutosha kutoa ajira kwa vijana wengi.
Alisema pia kuwa Serikali yake itakuwa rafiki wa sekta binafsi na kuwajengea uwezo wafanya biashara ndogo ndogo ili waweze kujiendeleza.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Shinyanga kwenye mkutano wake wa Kampeni ambapo aliwaambai wananchi hao kuwa serikali yake itakuwa ya kufanya kazi zaidi kwa maendeleo ya nchi.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisiti za jambo wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Shinyanga mjini.

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Shinyanga mjini Ndugu Stephen Massele kwenye mkutano wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi uliofanyika kwenye viwanja vya Kambarage.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Shinyanga mjini Ndugu Stephen Massele akihutubia wakazi wa Shinyanga mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao Mgombea urais anazo changamoto za Shinyanga mjini na anaamini atazitatua hivyo amewataka watu wake kumpa kura nyingi za Dk. John Pombe Magufuli ifikapo tarehe 25 Octoba.
Mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini akihutubia wakazi wa mji huo kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Kambarage.
 
wana shy siowajinga kama ufkiriAvyo wewe.ccm shy hamna kura ni lowassA kwa kwenda mbele.wadanganye waliolala kenge wew
 
Back
Top Bottom