Yaliyojiri Tunduma: Mikutano ya Kampeni ya Mgombea Urais, Edward Lowassa - Oktoba 17, 2015

Na hapo wote waliolala ktk UKAWA wamepotea, kama ktk maisha haya tuna matumaini na UKAWA basi tumasikini na malofa Jul ko watu woooote duniani......teh teh teh teh teh.......chama cha upatu hakiwezi kuongoza nchi kama tz. Endeleeni kuota ndoto mkiwa mcho.......

Bora sisi tumepotea lakini tutapata njia oct 24.
Kuliko nyie mlio laaniwa na vizazi vyenu vyoooote hata hamjielewi
 
Ccm wamechanganyikiwa baada ya kuona mambo ambayo hawakuyatarajia.

Acha wamuongezee kura za huruma. Hao watu walionyamaza hasa wa ccm, walikuwa hawapendezwi na ho udhalilishaji. Watampigia kura Lowassa, tena ccm hawataamini.
 
Mpaka sasa hivi mkutano haujaanza, japo wananchi wanamwamuko wa kutosha.
 
Je huko kuna Diamond platnum au wema maana nyomi hio ni hatareee

Lowassa hana utajiri wa kuwalipa hivi hawa wabana pua.
 
Attachments

  • IMG-20151016-WA0025.jpg
    IMG-20151016-WA0025.jpg
    103.4 KB · Views: 445
YESU CHRISTO kabla ya kufufuka na kupaa mbinguni,alitukanwa sana,alitemewa mate,alihukumiwa,alichaniwa nguo zake,alidharauliwa mno,alipigwa na kutundikwa msalabani!!.Unafahamu kuhusu Obama,John Paulo II,Suarez,Mandela,Clinton,Mao nk!!Dhahabu ili iitwe dhahabu,sharti ipite katika moto!!Giza likizidi ujue nuru inakaribia!!

Ni kweli
 
Na hapo wote waliolala ktk UKAWA wamepotea, kama ktk maisha haya tuna matumaini na UKAWA basi tumasikini na malofa Jul ko watu woooote duniani......teh teh teh teh teh.......chama cha upatu hakiwezi kuongoza nchi kama tz. Endeleeni kuota ndoto mkiwa mcho.......

Upimwe akili
 
saa wewe kupe unayenyonya damu za watu huna haya na shida za watanzania kwa sababu ya mfumo wa ccm
 
Mungu mbariki Lowasa mungu ibariki Tanzania. Please usiache kupiga kura mwamasishe na mwenzako aliye kata tamaa. Vote for our president EL

Mkuu huwez amini siku hiz kazi ya kuwaelesha watu! Ndani mwangu zaid ya 6 tayar!
 
Back
Top Bottom