ngudengude
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,175
- 466
Raisi Kikwete leo kavunja ukimya baada ya kusema CCM mwaka huu haikutaka raisi mwenye mikindomikindo, kwa kauli hii ni wazi kabisa Lowasa ana madhambi na makindo mengi ambayo tulio nje hatuyajui. Taadhari EL sio wa kuaminiwa tena hafai hata kuongoza mtaa wa nyumba kumi.