Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

Wananchi wagoma kuondoka hotel aliyofikia Mgombea wa Urais UKAWA Mh Edward Lowassa na wameahidi kukesha wakimlinda Rais wao mpaka kesho atakapokuwa tayari kuondoka

Maelfu ya wananchi ni idadi gani hiyo? Kwa hapo Gold Crest alipolala Lowassa hao "maelfu" walikaa wapi?

Nyie mnadanganyana tu kwenye mitandao. Subirini October mtakavyoshangazwa.
 
huu mfumo umechoka, na wanaoushabikia ni tabaka la juu zaidi tena ni wachache; kwa gharama ya wengi.
 
Bado kuna wajinga fulani wanasema kuwa watu wamelipwa kwenda kwenye mkutano.......
Hivi watu wote hao kweli wanaweza lipwa, Mwanza, Arusha, Dar na Mbeya basi Lowasa angekuwa Billgates
 
Vijana wa Mwanza ni majasiri sana alafu hawaogopi mtu jana kule Airport waliwapiga police na mawe baada ya kuwapiga mabomu na walijaza mawe barabarani gari ya mkuu wa police ilipopolewa na mawe kwa hali ya majibizano niliyoishuhudia jana ni dhahiri uchaguzi huu hautakua wa kawaida.

attachment.php
 
ccm tukubali tuu yaishe. namabo yatakuwa magumu ila hatuna jinsi chama tumekifanya cha kifamilia hapo ndo tuliteleza.
 
Tangu lini mateja wakawa na maala pa kulala?
Hao wote ni mateja tu mkuu.

Nimeshuhudia wengi unaowalinganisha na mateja kwa hali zao duni kimaisha wamejiandikisha safari hii. Kwa kauli hizi za kidharau kwa Watanzania ni kuwapa hasira wananchi waipigie kura ukawa vinginevyo ni mpango wako mkakati katika kulifanya hili litokee
 
hakuna cha wananchi wala nini hao niwatu waliosafirishwa nakulipwa kumlinda kwa sababu mamvi anajuwa amesha aribu na muda wowote watamtia pingu sasa anatumia magenge ya wananch waliopata mtonyo kumlinda. In shot muda wowote atapigwa pingu na hao majinga wanaomlinda mtu wasie mjuwa wataenda tibiwa maleria wakat wengine wakidondoka. Ataukizungukwa na maelfu watakutia pingu na utapanda kwenye wanten.

Una uhakika na unachokisema
 
wamelipwa na nani
 
ccm tukubali tuu yaishe. namabo yatakuwa magumu ila hatuna jinsi chama tumekifanya cha kifamilia hapo ndo tuliteleza.
 
Sasa mwenye akili zake Na majukum atafanya ujinga huo

Mkuu waweza kuwa uko sahihi, ila katika masuala ya kupiga kura hauko sahihi.
Mfano, Chakaza na MOTOCHINI wanagombea nafasi moja ya kuchaguliwa kwa kura moja mtu mmoja na wapiga kura wako 1000 tuu.
Lakini MOTOCHINI anakubalika na wasomi na maprofesa na wastaarabu wote ambao idadi yao ni 265 na Chakaza wanaomuunga mkono ni mateja, waendesha pikipiki na vibaka ambao ni 735. Hivi kwa akili ya haraka nani hapo ataibuka mshindi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom