Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

chadema kwenda kumtangazia fisadi lowassa ndani ya mkoa wa mwanza kama mgombea wao hii inaonesha chadema wanajua fika kuwa wananchi wote wa mwanza hawana akili?? Ni dharau kubwa sana kwa wana mwanza,waende kumtangazia kilimanjaro au arusha huko kwao

mkuu mpaka sasahivi hawana namna tumeishawajua, inawezekana wakashutuka wasimtagaze lakini yeye mdo mfadhiri wao wa ukweli akisaidia na mengi,
sio mwanza tu kote wameishajua kuwa ni wanafiki,inawezekana wakamkana maana hawa jamaa kwa unafiki ni numba 1, lakini habali za uhakika kabisa ama urais au uwaziri mkuu endapo wakipata,
 
Mkuu hao sio wa kuwapa matumaini hata kidogo, hata geti la Ikulu hawatanusa hao kwa uroho na unafiki wao!Jembe litaapishwa uwanja wa Uhuru wao wakiwa chini ya miembe
 
Kesho kuanzia saa nane mchana, Tunaenda kuandika historia mpya pale Mwanza, vile vile kwa wale ambao mpo mbali na Mwanza mtatupata moja kwa moja kupitia ITV na Star TV. Ni historia inaenda kuandikwa.

CHADEMA/UKAWA ndiyo tumaini la Watanzania.

Usikose kesho, Mwanza itasimama.

SAFARI YA UHAKIKA

Haina umaana wowote wa wether ni CHADEMA au UKAWA kutetemesha/kuikioua Mwanza au sehemu yeyote ile bila kusema chochote juu ya uvumi wa Mh. Lowassa kutska kuhamia CHADEMA.

Nini maana ya kurugenzi ya habari, wasemaji wa vyama?

Tayari kuna dosari ya muda aliousema Mh. Mbatia na kusema mgombea wa UKAWA!Then uvumi mkubwa na CHADEMA na WanaUKAWA wanajua hili. Tafsiri iliyopo/itakayoonekana ni

1. Kutokujiamini kwa wanasiasa: Watu husema being "silent is to say yes" and often even being quiet is to say something, Sasa misimamo ya UKAWA iko wapi katika uvumi huu, kutokujiamini kama wanaweza kusimama kama UKAWA na kuifanya CCM kuwa historia!

2. Kupoteza wanachama hatua za mwishoni: "Hizi ni dakika za majeruhi", You have to be more than tactical(Okay may be their silence is one of tactical steps) lakini uwezakano mkubwa wa kupoteza wanachama(Ikumbukwe wengi wao sasa hivi tofauti na mwaka 2005, ni wananchi wa hali ya chini waliochoshwa na maisha magumu, wenye kusikia kila leo Ufisadi na hivyo ukimya itaonyesha wao pia wameukubali kimya kimya), Wakumbuke pia Magufuli ingawa si kiongozi(leader) mzuri ila ni mchapakazi hodari, wananchi hawa hawatakumbuka haya muda huu, they are desperate for anything(na wakikumbushwa Uchapakazi wake, they will/must give in) hasa watanzania wenzangu wenye kusahau na wenye mihemko.

3.Vuguvugu la mabadiliko kuisha: Watu wanauangali Upinzani hasa UKAWA kwa jicho la 'Mkombozi wetu', sasa ni ngumu sana kurejesha tumaini la Watanzani if they turn back their backs esp. now.

So, narudia kusema kama kuna kosa la karne UKAWA au chama chochote cha UKAWA itafanya ni kumpokea Lowassa(for whatever reason(s) they might come up with), but all lie in their hands na muda wa wao kusema au kukanusha ni sasa the rest(sijui kuilipua Mwanza , Geita, Arusha, Dar) is just background noise.
 
Na enjoy sana siasa za bongo... Kila jioni niko kwenye upepo napitia post za jf. Raha sana.
 
Kesho kuanzia saa nane mchana, Tunaenda kuandika historia mpya pale Mwanza, vile vile kwa wale ambao mpo mbali na Mwanza mtatupata moja kwa moja kupitia ITV na Star TV. Ni historia inaenda kuandikwa.

CHADEMA/UKAWA ndiyo tumaini la Watanzania.

Usikose kesho, Mwanza itasimama.

SAFARI YA UHAKIKA
Hivi mgombea wa UKAWA ni nani?
 
Kweli aisee hata vijana wa BAVICHA sasa hivi wanaweweseka hawana nguvu tena wale waliokuwa wanajidai kuchangia kama wamelishwa mabomu sasa hivi siwaoni tena teh teh teh wako kwenye mashimo wamelipwa njaa mbaya sana!! Daaa Lema eti anajiita Kamanda teh teh teh leo kimyaaaaa MTEI kawapuliza wote wamekabidhi Saccos kwa Mgalatia!!

mkuu hao bavicha misukule tu najua watapinga kama wana no za simu za SLAA wamuulize alichokutana nacho alipopinga ujio wa lowasa,na akiwapa majibu walete hapa kama kweli wao ni wazaredo wa kweli,

Haina umaana wowote wa wether ni CHADEMA au UKAWA kutetemesha/kuikioua Mwanza au sehemu yeyote ile bila kusema chochote juu ya uvumi wa Mh. Lowassa kutska kuhamia CHADEMA.

Nini maana ya kurugenzi ya habari, wasemaji wa vyama?

Tayari kuna dosari ya muda aliousema Mh. Mbatia na kusema mgombea wa UKAWA!Then uvumi mkubwa na CHADEMA na WanaUKAWA wanajua hili. Tafsiri iliyopo/itakayoonekana ni

1. Kutokujiamini kwa wanasiasa: Watu husema being "silent is to say yes" and often even being quiet is to say something, Sasa misimamo ya UKAWA iko wapi katika uvumi huu, kutokujiamini kama wanaweza kusimama kama UKAWA na kuifanya CCM kuwa historia!

2. Kupoteza wanachama hatua za mwishoni: "Hizi ni dakika za majeruhi", You have to be more than tactical(Okay may be their silence is one of tactical steps) lakini uwezakano mkubwa wa kupoteza wanachama(Ikumbukwe wengi wao sasa hivi tofauti na mwaka 2005, ni wananchi wa hali ya chini waliochoshwa na maisha magumu, wenye kusikia kila leo Ufisadi na hivyo ukimya itaonyesha wao pia wameukubali kimya kimya), Wakumbuke pia Magufuli ingawa si kiongozi(leader) mzuri ila ni mchapakazi hodari, wananchi hawa hawatakumbuka haya muda huu, they are desperate for anything(na wakikumbushwa Uchapakazi wake, they will/must give in) hasa watanzania wenzangu wenye kusahau na wenye mihemko.

3.Vuguvugu la mabadiliko kuisha: Watu wanauangali Upinzani hasa UKAWA kwa jicho la 'Mkombozi wetu', sasa ni ngumu sana kurejesha tumaini la Watanzani if they turn back their backs esp. now.

So, narudia kusema kama kuna kosa la karne UKAWA au chama chochote cha UKAWA itafanya ni kumpokea Lowassa(for whatever reason(s) they might come up with), but all lie in their hands na muda wa wao kusema au kukanusha ni sasa the rest(sijui kuilipua Mwanza , Geita, Arusha, Dar) is just background noise.

mkuu wataje wasitaje,
habali za ukweli aslimia 10000000% ni mtu wao tena sio leo tangu, mengi walipokubaliana kwenye mpango wa rais kutoka ( ) awe ccm au upinzani,ambao kwa muda mrefu mengi ndo amekuwa anauendesha,

swali kwa wanajf wote
wapi ndani ya mwaka huu kiongozi wa chadema umemsikia akitaja uchafu wa lowasa ,ukimtoa shibuda ambaye alisema machafu ya lowasa tunayajua ?

pili fatilia magazeti ya vyombo vyao ndani ya mwaka huu uone wamekuwa wakisema nini au wanasema nini ndo utajua ninachokiseama ni kipi.

Bora upitie kamanda maana hawa UKAWA wamebug men sasa wanapumulia mifukoni mwa mafisadi!

pia nafikili wajivue jina la ukamanda maana huwa naona hata kwenye movie hakuna kamanda mnafiki au msaliti,wa kundi lake,
hawa ni k,k guard tena wa marungu,
 
Ukawa ni uhakika

uhakika wa unafiki,
tunasema hawana namna wataje au waone aibu ya kumtaja kila wanachokipanga tunajua ,maana hawa ni mabingwa wa unafiki wanaweza wasimtaje ili kutuada watanzania,
 
mkuu hao bavicha misukule tu najua watapinga kama wana no za simu za SLAA wamuulize alichokutana nacho alipopinga ujio wa lowasa,na akiwapa majibu walete hapa kama kweli wao ni wazaredo wa kweli,

pia nafikili wajivue jina la ukamanda maana huwa naona hata kwenye movie hakuna kamanda mnafiki au msaliti,wa kundi lake,
hawa ni k,k guard tena wa marungu,

Ndesa pesa teh teh, Malema,Sugu,Dogo janja teh teh teh haya majina yote yameka kaa kupiga hela na term hii mafisadi yamewalambisha tu wakalegea kwi kwi kwi njaa mbaya mkuu!
 
Ha ha ha ha ni shida kabisa wengine wamenunua msasa na tupa awe msafi daaa CDM ndo imegeuzwa mdebwedo kiivyo! MAYUDA ESKARIOTE yamekutana aisee hayafai kupewa nchiyasugue benchi milele haya!

magamba tujifariji ccm inapotea taratiiibu.Mungu ni mwema maccm yanasambaratika kwa kasi ya ajabu
 
MaCCM yameshaingia woga sana...

Yani wakisikia mkutano tu wanatoka mapovu...

Kanda ya Ziwa si Pwani...
 
wana jukwaa
maneno hayo yamesemwa na jj mnyika wakati akiwahutubia wakazi wa mbezi mwisho....amesema kilichotokea kahama Leo ni rasharasha wajumbe wengine wa ccm wanapokelewa hapo kesho jijini mwanza...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom