Yaliyojiri mkutano wa CHADEMA viwanja vya Ngarenaro Arusha

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Mwenyekiti wa CUF
attachment.php

Mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha Amani Golugwa
attachment.php

Mbunge anayesubiri kuapishwa kamanda Godbless lema akiongea kwa uchungu kabisa baada ya kusikia kamanda wake Alphonce Mawazo kuwa kauwawa na watu wanaodhaniwa ni Green Guard
attachment.php

Mwenyekiti wa chadema wilaya ya Arusha Magoma JR, Lucy Owenya na kiongozi wa waislam wakifatilia mkutano
 

Attachments

  • wise1.jpg
    wise1.jpg
    104.8 KB · Views: 1,343
  • wise2.jpg
    wise2.jpg
    115.3 KB · Views: 1,329
  • wise3.jpg
    wise3.jpg
    70.6 KB · Views: 1,304
  • wise6.jpg
    wise6.jpg
    89.5 KB · Views: 1,325
  • wise7.jpg
    wise7.jpg
    91.6 KB · Views: 1,318
  • wise4.jpg
    wise4.jpg
    46 KB · Views: 1,277
Sisi tushafunga dirisha la siasa tuna pata burdani za star sasa hv
 
In Tanzania, it's not the voters who chose leaders but those who count the votes!!
 
Mbona Lowassa hatumuoni, si tuliambiwa leo kutakua na tamko rasmi kutoka ukawa
 
Kwa yaliyotokea huzuni lazima hata mie nina huzuni sana.Hasa nikikumbuka jinsi tume ilivyochakachua basi roho inaniuma sana.Hongera sana danny kufurahia ushindi wa goli la mkono ipo siku haki itatendeka na SAFARI INAENDELEA!!!

Tume ndiyo inayopiga kura au? Ushindi ni ushindi tuuu. NA LEO MAGUFULI KAFANYA ZIARA YA GHAFLA UWANJA WA TAIFA ALGERIA WAMEPAGAWA NA WASHAPIGWA MBILI
 
kumbe kunawatu wanadhani magufuli alishind urais? okee, yeye ndiye coz ndie kiongozi ila yeye siye alieshinda, na msipoteze muda kumdiss lowasa coz yupo vizruri sana na anakubalika, anajua afanyacho, sio lazima saana unaemdis umdis coz hapotezi chochote kwa wewe kumdis so just shut it off, yeye ni bora kwa wenzako we baki na unachokiamini,
 
Acha uongo we jamaa, mbona maduka yapo wazi, na hata uwanja haujajaa , pale uwanjani watu wapo karibia na jukwaa na kwenye kuta za shule tu, katikati hamna watuu.

Alafu nikuulize, leo Lowasa atahutubia dakika ngapi vilee?? maana mi nimeondoka bado hajaja,, embu kisia atahutubia dk ngapi
 
Ni ngumu sana kwa kijidimbwi kusababisha mafuriko,na hata ikiwezekana huwa ni harmless floods.
 
Aiee.. Lowassa ni muongo sujapata kuona jamani aaahhh.
Lowassa kawadanganya arusha,, aisee hajatokea kwenye mkutano. aibuuuuuuuuuuuuuu
 
Tume ndiyo inayopiga kura au? Ushindi ni ushindi tuuu. NA LEO MAGUFULI KAFANYA ZIARA YA GHAFLA UWANJA WA TAIFA ALGERIA WAMEPAGAWA NA WASHAPIGWA MBILI

2-2 ni kama muhimbili magufuli kapita wakazuga kutengeneza mashine lakini wagonjwa bado wapo hoi huku hudumu zingine zikiwa za hovyo madaktari wanashinda kupeleleza ratiba za magufuli
 
Back
Top Bottom