Yaliyojiri mkutano wa CHADEMA viwanja vya Ngarenaro Arusha

Poa kamanda hivi lile suala la migambo kukoma kurandaranda mjini Arusha litakomeshwa lini?

Nakumbuka ulipokua stend kuu ukiomba kura ulisema halmashauri ya jiji ikiongozwa na chadema migambo wakatafute kazi nyingine, Mbona sasa halmashauri yote iko chini ya chadema sioni lolote

Hawajaanza kazi hata kuapishwa bado.
 
CDM msitusumbue mmeshindwa kulinda kura zetu vijana tunasema hatupigi kura tenaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
pole yako, umeuza nyumba sasa ni mpangaji utatumikia wananchi kweli? Siasa ni biashara kama unavyotangaza hapa

Kwan mtu akiuza nyumba yake inakuhusu nini mbona unapenda kuingilia maisha Ya mtu huo ni umbea. Umeshaambiwa hapa kaz tu piga kazi acha kufatilia maisha Ya watu.
 
Kweli CHADEMA imechokwa. Yaani uzi huu tangu saa saba mpaka sasa una page mbii tu?
 
CDM msitusumbue mmeshindwa kulinda kura zetu vijana tunasema hatupigi kura tenaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Mbaya zaidi wanaweka mkutano siku ambayo macho na masikio ya Watanzania wote yapomkwa Taifa Stars wanapocheza na Algeria. Hakuna atakayewafuatilia upuuzi wao
 
Kweli CHADEMA imechokwa. Yaani uzi huu tangu saa saba mpaka sasa una page mbii tu?

Uzi hauwezi kufika mbali watu wamesusa na jibu watalipata kwenye sanduku la kura Lema ajiandae kisaikolojia atafute kazi nyingine ya kufanya.
 
Leo tunaangalia vitu vya Samatta na Thomas ulimwengu, Mambo ya Lema na lowasa samahanini kbs
 
mnanikumbusha mbali sana na live updates...

tupo pamoja kamandaa, safari ndo inaanzaa

Safari ndio inaanza tupo pamoja! UJUMBE KWA MNYIKA SUGU NA WABUNGE WOTE WA UPINZANI.HAKIKISHENI MWAKA 2016 HAUISHI BILA SHERIA YA UCHAGUZI KUBADILISHWA HASA KUWEZESHA VYAMA KUUNGANA NA KUTAMBULIKA KISHERIA.
 
Mwenyekiti wa Wilaya anakemea kitendo cha polisi kupitisha magari washawasha leo kwa lengo la kutisha umma,hata hivyo uwanja umejaa sana pamoja vitisho.
Anaitaka serikali ilete maji ya kunywa badala ya washawasha
 
late and you wont even touch anything to injure him, bull shit he need nothing but a show, if money he have a lot,
 
Nawaonea huruma Wa zenj ambao wanachezea Tanganyika wakati Zanzibar hakieleweki!
 
Back
Top Bottom