Yaliyojiri mkutano wa CHADEMA viwanja vya Ngarenaro Arusha

pole yako, umeuza nyumba sasa ni mpangaji utatumikia wananchi kweli? Siasa ni biashara kama unavyotangaza hapa

Mie nadhani atakaye shindwa kutumikia jamii sii mwingine bali wewe unayekuja JF kulalamika usaidiwe kwa vile una mke mkorofi. Na sio ajabu kuwa mkeo sio mkorofi ila kaona una akili ndogo na tabia za ki umbea umbea na akikomaa kukurekebisha unaona ni mkorofi mpaka unakuja omba ushauri wa wanaume wenzio.
Mtu akiuza nyumba yake wewe inakuhusu nini?
 
Haa ha ha basi itabidi agombee ubunge maana mafuriko yake kwa urais hayatoshi.
 
Hakuna mtu ambaye amewahi kukwambia kwamba una matatizo ya kisaikolojia?
Uzi hauwezi kufika mbali watu wamesusa na jibu watalipata kwenye sanduku la kura Lema ajiandae kisaikolojia atafute kazi nyingine ya kufanya.
 
Mapenzi mahaba phase II. Na matusi bado yako pale pale duh! Nilidhani may be mmejifunza kitu na mmekuwa humble kidogo. Nasubiri kuona kama barabara zitadekiwa na watu kuzimia.

Lowassa aje awaage Watanzania aanze safari ya kwenda Monduli kuchunga ndama, japo ataendelea kuwa Think Tank ya chama.
 
Hahaha uzi wa nyumbu leo page moja mkutano wa ufunguzi wa kampeni tena arusha reply 7. Hahahahah kweli ma trolls yako segerea mliobaki fungueni basi multiple id's au itaneni muokoe hii aibu
 
Hahaha uzi wa nyumbu leo page ya 3 mkutano wa ufunguzi wa kampeni tena arusha . Hahahahah kweli ma trolls yako segerea mliobaki fungueni basi multiple id's au itaneni muokoe hii aibu
 
Wekeni picha za Ivory Coast tuoshe macho. Yaani bado mnakumbatia dhana ya mafuriko? Ina maana hamjajifunza kitu? Wow!
 
Wanahutubia nini huko Arusha! vp wamezimia wangapi leo? Au ishu ya kuzimia haina tija! na kudeki barabara leo vipi? Nyumbu katika ubora wao.
 
Back
Top Bottom