Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 124,667
- 236,629
Nimecheka almanusura kuchana mbavu !Lema hatakiwi Arusha hiyo ndio fact
Nimecheka almanusura kuchana mbavu !Lema hatakiwi Arusha hiyo ndio fact
Poa kamanda hivi lile suala la migambo kukoma kurandaranda mjini Arusha litakomeshwa lini?
Nakumbuka ulipokua stend kuu ukiomba kura ulisema halmashauri ya jiji ikiongozwa na chadema migambo wakatafute kazi nyingine, Mbona sasa halmashauri yote iko chini ya chadema sioni lolote
pole yako, umeuza nyumba sasa ni mpangaji utatumikia wananchi kweli? Siasa ni biashara kama unavyotangaza hapa
Mbaya zaidi wanaweka mkutano siku ambayo macho na masikio ya Watanzania wote yapomkwa Taifa Stars wanapocheza na Algeria. Hakuna atakayewafuatilia upuuzi waoCDM msitusumbue mmeshindwa kulinda kura zetu vijana tunasema hatupigi kura tenaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Kweli CHADEMA imechokwa. Yaani uzi huu tangu saa saba mpaka sasa una page mbii tu?
Lema hatakiwi Arusha hiyo ndio fact
WameshawachokaHautarushwa live mkuu
Leo tunaangalia vitu vya Samatta na Thomas ulimwengu, Mambo ya Lema na lowasa samahanini kbs
Lema hatakiwi Arusha hiyo ndio fact
mnanikumbusha mbali sana na live updates...
tupo pamoja kamandaa, safari ndo inaanzaa
Leo tunaangalia vitu vya Samatta na Thomas ulimwengu, Mambo ya Lema na lowasa samahanini kbs