Yaliyojiri leo Arusha - Picha na video

Kazi yako nzuri sana. Hata hiyo simu ya mchina iheshimu maana picha siyo mbaya zinatosha kufikisha ujumbe endelea ahsante sana
 
Reactions: BAK

Kwa ulinzi huu ulivyo imarishwa hata nzi na uhakika hakusogea , licha ya wapenzi wa cdm. Hongereni jeshi la polisi kwa kutekeleza sheria ya nchi, na huu uwe ni mfano kuwa next time lazima afuate sheria.
 
ukombozi tanzania oyeeeeeeee, saa ya ukombozi imewadia
 
Kwa ulinzi huu ulivyo imarishwa hata nzi na uhakika hakusogea , licha ya wapenzi wa cdm. Hongereni jeshi la polisi kwa kutekeleza sheria ya nchi, na huu uwe ni mfano kuwa next time lazima afuate sheria.

Just THINK TWICE before making a post:glasses-nerdy:
 
View attachment 31560
View attachment 31561
Hii ni kabla ya kesi na wakati kesi inaendelea...Mtanisamehe nimepiga picha kwa simu yangu ya mchina...
Video zinakuja

Wana JF,

Kweli Mtu kama mbowe analindwa utadhani ni mfungwa as if amefanya au kashiliki president assassination, Ulizi ulio tolewa kwa mbowe ingekua ni bora wakatulindie mali za nchi yetu kutorosha nje kama Magogo, Mchanga wa dhahabu ,Almasi na vinginevyo.

Serikali imeingia gharama ya juuu kweli me nisha waambia serikali ya JMK inatengeneza a Time BOOM nali limekaribia kufika

Kwa ulinzi huu ulivyo imarishwa hata nzi na uhakika hakusogea , licha ya wapenzi wa cdm. Hongereni jeshi la polisi kwa kutekeleza sheria ya nchi, na huu uwe ni mfano kuwa next time lazima afuate sheria.

we ni mpumbavu we iyo sheria ya nchi inatekelezwa kwa chadema tu? Mbona ccm kuna maovu mengi sheria hakuna? Tanzania nw hakuna sheria ni kujuana. Hao mafisadi mbna hawachukuliwi sheria, Balali mbna kafichwa? Wachakuongea kama una2mia m.*****.
 
Barikiwa sana mkuu wetu ,kazi yako ni kuu sana mioyoni mwetu.
 
Kwenye thread nimeweka video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…