Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

Naona uhuru unapotea tatashindwa kuhoji,tutashindwa kukemea Mungu wangu tanzania inakwenda wapi mbona tunatamani kurudi tulipo toka badala ya kufurahia tunapokwenda
 
hahahahaha IT from Rwanda toka mdogo mpaka sasa sijawahi kusikia serikali yenye kila taasisi na vitengo vyte ikashindwa jambo ambalo imelitaka kulifanya tuombe tu mungu tusije potea tu lakini kama kweli serikali imesema JF is no more hakuna wa kupinga napata sana waswas na taarifa zangu kupewa mtu nisiye mjua na si kwa idhini yangu mtu mwenyewe sijajua nia yake kwangu na waswas unazidi pale nikikumbuka wakat wa uchaguz JF ilikuwa mikononi mwa Hackers kwa kipindi kifupi wenye kukumbu watakuwa wanajua nisemacho

JF haikuhakiwa sema jamaa wa IT Masaki waliiattack kwa kuioverload na message mpaka ikawa nzito ili isiwe very active wakati wa kutangaza matokeo
 
Dah bila Jf ungekutana wapi na The bold ? Niwatakie kila la heri tena naweza nisipate huu wasaha tena
Siku zote utakuwa imaginary friend wangu
Acha tu...
Hii comment umenifanya nikalengwa lengwa na machozi.
Tuombe Mungu,tutavuka hili salama na tutaendelea kuwepo ktk familia yetu hii ya JF.
Be strong, everything will be alright.
 
Chase-Walker-Cannot-Stop-Freedom-of-Expression.jpg
 
Ningejua kama hali yenyewe ndo hii nisingepiga kura? Mkumbo umeniponza
 
Ninyi wanafiki sana mlimuita Melo ccm leo mnajifanya mnamlilia sikushangai ukiniita mimi ccm. Melo ananifahamu kuliko unavyodhani na anaujua mchango wangu kwa hii media tangu ikiitwa jambo na jamii kwahiyo usifikiri mimi ni mnafiki kama ninyi mnaobadilika kama vinyonga
Eti Melo anakufahamu, kwanini umshawishi ashirikiane na polisi awape particulars zetu? nyie Lumumba acheni unafiki.
 
What I see now, They want all of us to live in fear of both robbers and the police force, whilst they forget that nothing is more despicable than seeking respect based on fear.

They must FREE!!! FREE!!! Max Mello Now!!! because “The rights of every man diminished when the rights of one man are threatened” BY J.F. Kennedy

IT'S ONLY OUR SOLIDARITY CAN FIGHT INJUSTICE AND PROTECT OUR RIGHTS AND THE MANDATE OF TANZANIA CONSTITUTION.


Hold tight Max Mello!!! they might kill you brother but do not allow them to Kill what is inside You.
 
Polisi wamevamia ofisi za Jamii Media ya JamiiForums na Fikra Pevu, wakiwa na Maxence Melo.

Wamewahoji wafanyakazi wa JamiiMedia na kuchukua maelezo jinsi wanavyofanya kazi.

Mkurugenzi Mtendaji Maxence hajafikishwa Mahakamani amerudishwa kituo cha Polisi cha Central.

Taarifa Zaidi kukujia...


Kama nia yao ni kufungia JF wasiwasumbue watu wafunge tu tujue moja. Kama alivyosema mwana Kijiji. Unajua wakifungia JF itapa ugumu zaidi kudhibiti watu wakiamia facebook na mingine International manake huko ndipo zipo sheria na haki. sio hapa kwetu pananuka siasa majitaka mno.
 
Naona muda si mrefu mod watakula ban na wao wakat sisi members tukibadilishana majumba ya serikali kama c hospital ni magereza na mwenyekiti ameshasema waliojela wamenyeke kweli kweli
 
Kuna nini..? mbona purukushani kata funua zinaendelea JF..

Niko Gambia mentally, huku sarakasi tit for tat za Jammeh hasomeki.. haa
 
Back
Top Bottom