Ni nani huyo na watu waliuliza Maswali gani hayo? Na kwenye hiyo party kafanya nini?Mnaojiuliza maswali kuhusu divathebawse nazani majibu mnayo kwa mujibu wa hii pajama pary ya clouds fm.
Nifundishe mrembo najua kubeba tu sijui kujibeba!Utajibebaaa[emoji2]
Masoud namkubari sanaKwenye ujinga kama huo, huwezi kumkuta Masoud Kipanya
Alikua TangaKwenye ujinga kama huo, huwezi kumkuta Masoud Kipanya
Ivi ile picha ya juzi ista anamimba ni yeye auYaani ilimradi tu aonekane yeye ndiyo diva na hilo li wigi lake la maiti ya mzungu