aiseee ktma wanacheza na akili zetu, yaani hapa hakuna cha kura kuamuwa wala nini, benchi la ufundi la ktma limekaa chini likaamua kubalance, madhara yake sasa, wanakosa wanaostahili wanapewa wakupewa.
kausha basi, matokeo ni 4-3
Kwaio tatu tatu.?
Naona Kidoti kamfunika Wema kwa vazi. Mtazamo wangu
Hahahahaaaaa mbona hii na nyie mniringia? Si mlisema sisi tunalilia tuzo ya FA?
Nguo yake nzuri kapendeza ila hicho kikofia tu ndo hakijanifurahisha kabisa.
Kidoti mtamuuu...
Msanii