Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

aiseee ktma wanacheza na akili zetu, yaani hapa hakuna cha kura kuamuwa wala nini, benchi la ufundi la ktma limekaa chini likaamua kubalance, madhara yake sasa, wanakosa wanaostahili wanapewa wakupewa.

Kwa mara ya kwanza naungana na wewe...
Haya ngoja tuone mwisho wake bwana.
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom