Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

WanaJF.
Tumeona jinsi serikali ya CCM na Jeshi la Polisi walivyohangaika kwa kipindi cha maandalizi ya UKUTA. Ni wazi kwamba kwa kusogeza mbele operesheni hii kutaendelea kuwashughulisha sana mapolisi na maccm kwa kipindi kingine.
Kwa kifupi kufikia hapa tulipo UKUTA imefanikiwa sana sana. Kila siku magazeti yote yalikuwa yanazungumzia UKUTA. Kwa kiasi kikubwa tumeweza kumwondoa JPM kwenye headlines na watanzania wengi wamepata ukweli juu ya hali halisi ya Udikteta na dalili zake alizozionyesha JPM.
Nina uhakika kuruhusu viongozi wa dini na Taasisi mbalimbali za ndani na za kimataifa kujaribu kukutanisha pande hizi mbili kutafungua zaidi uelewa wa watanzania juu ya UKUTA. Na kwa upande wa Pili nia ovu ya kuliingiza Taifa kwenye machafuko inayoonyeshwa na serikali ya awamu ya tano.
Kwa wapenda amani wote duniani wataunga mkono uamuzi huu wa viongozi wetu ambao umedhihirisha nia yetu ya ndani ya ya kulindaa amani ya nchi yetu .
[HASHTAG]#UKUTA[/HASHTAG] ni operesheni endelevu hata sasa tunaendelea nayo. Tutaendelea kujipanga na kufanya maboresho ya mikakati yetu ili mwisho wa yote katiba ya nchi yetu iheshimiwe na kila mtu.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu ibariki CHADEMA.
Mungu ibariki operasheni [HASHTAG]#UKUTA[/HASHTAG].
Kumbe lengo lenu la kibwege kiasi hicho! Yaani kumwondoa JPM kwenye headlines za vyombo vya habari!!! Ha aha ahaaaaa...
 
Duh ukuta umedoda tiyari, viongozi wazinguaji tu wanasumbua watanzania bure tu.
 
Wewe ni mke wake unasema alikuwa halali!?
1472650145157.jpg
 
Kumbe lengo lenu la kibwege kiasi hicho! Yaani kumwondoa JPM kwenye headlines za vyombo vya habari!!! Ha aha ahaaaaa...

lengo letu ni kufanya siasa wakati magufuli hataki, na linafanikiwa. hata mkutano wa leo na waandishi wa habari tayari chama kimefanya siasa na ndo maana na wewe uko hapa jukwaani kufuatilia.
 
Kama hujamwelewa ni wewe. Wengi tumemwelewa sana karne ya leo ukitaka kuiangusha hii MIDUBWASHA lazima utumie akili na si nguvu. Mosi JWTZ wametangaza operesheni ya usafi kuazimisha sijuwi nini huko yote hiyo ni kupinga UKUTA, pili Viongozi wakuu wote wamekamatwa na wana kesi tayari mahakamani katika hali kama hiyo huwezi kuitisha maandamano utaonekana Mwehu. Nimewakubali sana chadema mchezo wanaoucheza serikali inaweza kuja kushtuka 2020 bado wanakimbizana na chadema.
Unaona sasa agenda zenu zilivyo za kip.mbavu! Yaani lengo lenu kukwamisha maendeleo ya mtu aliyechaguliwa kihalali!!!! Uzuri JPM huwa anapitapita hii mitaa na ndo anazidi kujua anadeal na wapinzani wa aina gani. Atawakong'ota sana nyang'au nyie!
 
hamna jipya washaufyata zmebaki siasa za ufipa

Hata kama wameufyata, lakini UKUTA wapapata publicity kubwa na serekali kwa kuogopa wameleta hata ndege za kivita kupambana na wananchi ambao wangeandamana kwa kubeba matawi ya miti. Woga huo wote wa nini kwa serekali inayojiamini? Viongozi wa UKUTA wametumia busara kama walivyotumia wakati wa matokeo ya uchaguzi mkuu kuepusha TZ kuangamia na moto wake wenyewe.
 
lengo letu ni kufanya siasa wakati magufuli hataki, na linafanikiwa. hata mkutano wa leo na waandishi wa habari tayari chama kimefanya siasa na ndo maana na wewe uko hapa jukwaani kufuatilia.
Kufanya siasa wapi wakati mnayopanga mnayaandika humu humu! Acha awabomoe wapuuzi sana nyie siku hizi

Ona nyumbu mwenzio alichoandika hapa

"Kama hujamwelewa ni wewe. Wengi tumemwelewa sana karne ya leo ukitaka kuiangusha hii MIDUBWASHA lazima utumie akili na si nguvu. Mosi JWTZ wametangaza operesheni ya usafi kuazimisha sijuwi nini huko yote hiyo ni kupinga UKUTA, pili Viongozi wakuu wote wamekamatwa na wana kesi tayari mahakamani katika hali kama hiyo huwezi kuitisha maandamano utaonekana Mwehu. Nimewakubali sana chadema mchezo wanaoucheza serikali inaweza kuja kushtuka 2020 bado wanakimbizana na chadema."
 
WanaJF.
Tumeona jinsi serikali ya CCM na Jeshi la Polisi walivyohangaika kwa kipindi cha maandalizi ya UKUTA. Ni wazi kwamba kwa kusogeza mbele operesheni hii kutaendelea kuwashughulisha sana mapolisi na maccm kwa kipindi kingine.
Kwa kifupi kufikia hapa tulipo UKUTA imefanikiwa sana sana. Kila siku magazeti yote yalikuwa yanazungumzia UKUTA. Kwa kiasi kikubwa tumeweza kumwondoa JPM kwenye headlines na watanzania wengi wamepata ukweli juu ya hali halisi ya Udikteta na dalili zake alizozionyesha JPM.
Nina uhakika kuruhusu viongozi wa dini na Taasisi mbalimbali za ndani na za kimataifa kujaribu kukutanisha pande hizi mbili kutafungua zaidi uelewa wa watanzania juu ya UKUTA. Na kwa upande wa Pili nia ovu ya kuliingiza Taifa kwenye machafuko inayoonyeshwa na serikali ya awamu ya tano.
Kwa wapenda amani wote duniani wataunga mkono uamuzi huu wa viongozi wetu ambao umedhihirisha nia yetu ya ndani ya ya kulindaa amani ya nchi yetu .
[HASHTAG]#UKUTA[/HASHTAG] ni operesheni endelevu hata sasa tunaendelea nayo. Tutaendelea kujipanga na kufanya maboresho ya mikakati yetu ili mwisho wa yote katiba ya nchi yetu iheshimiwe na kila mtu.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu ibariki CHADEMA.
Mungu ibariki operasheni [HASHTAG]#UKUTA[/HASHTAG].
Aisee,huyu kweli ndio Think tank la UKAWA?alaa aisee kumbe ndio maana mnasomeka kirahisi
Aisee kweli Bavocha Janga la taifa,hembu jifunzeni kuelewa
Ndio maana hata shule watoto wa sasa huanza Nursery School,na kwenye Siasa ni the same
Haya tuimbe
BILINGEE BAYOYOO BILINGEE BAYOYO,KAKA UKUTA KAA CHINI TUKUONE KIUNO CHAKO BINGILI BINGILI UKUTA CHINIIIIIIIIII
Haya kesho muwahi mapema,na mje na nguo safieee,eee UKUTA
 
Sababu za kuahirishwa kwa UKUTA kama zilivyo kwenye hotuba zina mashiko, nakubaliana nazo ingawa kwa masharti:-

1) Bila kujali dhihaka za "kubadilishwa gia angani", " waoga" nk lakini ni budi kila mpenda haki, amani na umoja wa Kitaifa aendelee na maandalizi ya kudai tunu za uhuru, haki, amani nk MPAKA PALE ZITAKAPOPATIKANA.

2) Siasa ni sayansi....na katika hili kila mzalendo analo la kujivunia kwa hatua hii.

3) Viongozi wa dini wasiwe wanafiki na mabubu, hizo jitihada zao (namnukuu Mh Mbowe) kwanini hatuwaoni wakizisemea kwenye majukwaa yao? Kwanini hawamkemei huyu mvunja Katiba? Kwa nini wanakuwa hodari nyuma ya pazia tu?

4) Je kwa vile hizo wiki 3 walizoomba viongozi wa dini ni makadirio yao tu, je ni kwanini na wao wasije nao kwenye press conference (tofauti na hii) na kuuleza umma wa Watanzania kiini na maendeleo/mkwamo wa jitihada zao hizo?
 
Kufanya siasa wapi wakati mnayopanga mnayaandika humu humu! Acha awabomoe wapuuzi sana nyie siku hizi

Ona nyumbu mwenzio alichoandika hapa

"Kama hujamwelewa ni wewe. Wengi tumemwelewa sana karne ya leo ukitaka kuiangusha hii MIDUBWASHA lazima utumie akili na si nguvu. Mosi JWTZ wametangaza operesheni ya usafi kuazimisha sijuwi nini huko yote hiyo ni kupinga UKUTA, pili Viongozi wakuu wote wamekamatwa na wana kesi tayari mahakamani katika hali kama hiyo huwezi kuitisha maandamano utaonekana Mwehu. Nimewakubali sana chadema mchezo wanaoucheza serikali inaweza kuja kushtuka 2020 bado wanakimbizana na chadema."

lengo kuu ni kufanya siasa na siasa inafanyika kinyume na maelekezo ya jamaa yenu, afu siasa ya siku hizi tamu zaidi, ni CHADEMA vs policcm. ukuta umesababisha policcm wajitokeze hazarani kufanya siasa.
 
Tunapaswa kujitoa ufahamu na kunya barabarani ili hao wanaosema watafagia ziwe salamu zao wakati wanafagia kuwa wameigizwa mkenge na ccm
 
Back
Top Bottom