Yaliyojiri: Kongamano la amani ya Tanzania - Julai 28, 2013

Kwanza, Chadema hawakuspecify.

Walisema "amani haijadiliwi", "amani inawekwa"

Period

Mwezi haujatimia Katibu Mkuu wa Chadema anaenda kujadili amani

Hivi pale mkisema huwa hamjui mnachokisema, au ndio kujisemea lolote tu alimradi litakaloungwa mkono na watu kwa wakati ule?

Wewe unafaa kuwa nyinyiem. Kwani wao wanaficha majina ya wauza unga halafu wanataka waite wadau kumbini kujadili namna ya kuwakamata wahusika.
Wao ndio wapiga mabomu katika mikutano halafu eti wanaitisha kikao cha kwenda kujadili namna ya kudhibiti mabomu katika mikutano,
Kinachofanywa ni kama Panzi vile, akiona moto anaruka fasta kukimbia zahama halafu anazunguka na baadae kupita katika moshi na kutumbukia katika moto ule ule alioukimbia.
 
tundu lissu amemchana mwalimu nyerere. ameonesha mauaji na udikteta wa hali ya juu uliokuepo kipindi cha nyerere. hongera lissu kwa kuliona hili!
Mkuu, Lissu kamchana live Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, A.K.A Baba wa Taifa.

Vipi makamanda wanasemaje.
 
Taja waliouliwa,lakini sikia mchangiaji anakwambia mfumo wa vyama vingi ni mbovu.

inaelekea unajifanya kiziwi. kamuulize lissu. ametaja mifano na miaka. reference yake imeelemea kipindi cha nyerere. japo hakumtaja lkn kwa great thinker ameelewa kuwa anaechanwa ni nyerere. hongera sana lissu! watu wengi huwa hawapendi nyerere kukosolewa
 
Mkuu, Lissu kamchana live Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, A.KA Baba wa Taifa.

japo simpendi lissu lkn amesema ukweli. nyerere huwa anasifiwa tu kila siku hali ya kuwa alikua dikteta wa kupindukia
 
Hivi Huyu Lilian Wassira ndo yule alishawahi kuja hapa JF

huyu ni dada yake. yule anaitwa esther. wana mawazo ya kibavicha. eti wanamkomoa ami yao baada ya kuwazuia kuwadhulumu ndugu zao urithi.
 
Kuna Mjeshi mmoja wa JWTZ na magwanda yake yupo pia. Nataka nione akiongea kidogo maana hawa watu wamefungwa midomo na watawala kabisa.

Huyo mjeda ataweza kweli kumwaga mbwembwe kweli hapo? Manaake haya mambo inabidi uwe na roho ya chuma hivi kama ya Lisu.
 
Mmh,huyu lilian wasira kumbe ndo yuko hivyo?.
Jamani si kuna kipindi mlikuwa mnasema eti ni mrembo sana au zilikua siasa tu.
 
Lilian wassira kathubutu lakini magamba msije mkamng'oa tu kucha mama wa watu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Lilian Wassira si mwanasiasa ila ni mwanaharakati na huu sio wakati wake.

hata prof killian amempa za uso lissu akimuuliza kuwa haelewi kama ni mwanasiasa au mwanaharakati. hawa lilian na esther wassira walihamia chadema baada ya mzee wassira (ami yao) kuwawekea ngumu wasiwadhulumu ndugu zao nyumba ya urithi. hicho ndicho chanzo cha tofauti zao
 
Back
Top Bottom